Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Kama umeangalia video walikua wanaelekea sehemu na alikua na njia nyingi kueleza Mambo yake ikiwemo kuomba nafasi kwenye kikao au mkutano. Huko mbele kulikua na mkutano tu ila ameamua kuropoka. Angesikilizwa tu jamaa yangu na alichokifanya ameipa familia kazi tu.Hiyo ni njia moja wapo ya kudai haki
Na imetumika sehemu nyingi duniani
Unafikiri ukidai haki kwa kubembeleza utasikiliZwa
Ova
Hujaona viongozi wamekuja hapo kuwasikiliza na hapo walikua na viongozi? Ukikuta mpaka viongozi wamefika ujue kero zao zimesikika, na wamwsikilizwa huko kuropoka amejitakia.We unasema nini!
Ukiona hivyo watu washaandika
Mabarua mpaka makabrasha yamejaa,
Acha wadai tu kwa style hiyo
Ova
Mkampe dhamana Sasa maana ameamua kupita mkato wakati alikua na nafasi kuona kiongozi aliekuja amekuja kuwasaidia Kwa lipi.Kwa hiyo miaka sasa zaidi ya 60 ya kujitawala huku lingusenguse hatuna maji Safi na salama, tuendelee kusubiria wakati ile royal [emoji146] family ina makontena ya usd, upumbavu at its best
Kwa mijibu wa chawaKudai haki bila utaratibu ni vurugu
Tatizo lako unaongea huku umeshiba makande.Kuna utaratibu wa uongeaji kwenye makundi ila huwezi kuelewa Kama unahasira.
Hakuna maandamano ya Mtu 1 au 2 mkuu. Sheria inasema maandamano ni zaidi ya watu wawili.We n kiaz Sana
Sheria ipi imevunjwa hapo?
Ametukana je kuandamana n kosa kisheria
Asee nchi ina mazuzu hiii sijawah ona
Feminist hua unajitahidi kupambania Sana wenzako.Kwa hiyo wanawake sio walezi wema,hii inajionyesha wewe una GBV, Nkanini ni tough nuts na always anafight kudai haki yake kwa push back 🔙 sio kusubiria politicians waje na maamuzi, heshimu wanawake maana mama yako ni mwanamke
Nashukuru mno kwa kunifuatilia, wewe pia umezaliwa na kukuzwa na mwanamke, mama yako ni mwanamke elewa hivyo, treat them with respectFeminist hua unajitahidi kupambania Sana wenzako.
Hapo tumia njia ya push back.Nashukuru mno kwa kunifuatilia, wewe pia umezaliwa na kukuzwa na mwanamke, mama yako ni mwanamke elewa hivyo, treat them with respect
We unasema nini!
Ukiona hivyo watu washaandika
Mabarua mpaka makabrasha yamejaa,
Acha wadai tu kwa style hiyo
Ova
Wenzenu umeme ukikatika, wanaandamanaKudai haki bila utaratibu ni vurugu
Polisi wana mtindio wa mgongoNashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza.
Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
View attachment 2484579
Yule km siyo mlevi ana jambo lake, kila kitu kina utaratibu hana viongozi. Afinywe pumbu vizuri ijulikane nyeupe na nyeusi