PostGE2025 Mwananchi: Msiogopeshe watu acheni wafunguke, tumezika watu huwezi kuzungumzia habari za mwendokasi

PostGE2025 Mwananchi: Msiogopeshe watu acheni wafunguke, tumezika watu huwezi kuzungumzia habari za mwendokasi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Serikali ya CCM inatakiwa ijue kusoma alama za nyakati vyema hatupo enzi za Nyerere, kama ni kuua raia ndiyo njia ya kuzima sauti za wananchi basi wateketeze taifa lote kwa petroli

Washauri wa Samia mwambieni ukweli yanayoendelea huku nje maana hata kwa hotuba zake zinaonyesha dhahiri hana uhakika wa taarifa anazotoa
-----------
Kijana afunguka mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga DC Nyakia Ally Chirukile


 
Back
Top Bottom