McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Hebu njooni hapa tujadili huyu jamaa sanamu lake tulijenge wapi
===
POLISI TUACHENI TULE BATA
Haya yamesemwa na miongoni mwa wananchi wa mji wa Musoma katika mkutano wa Mbunge wa Musoma mjini akiwasilisha kazi alizozifanya kipindi Cha siku 100 mara baada ya uchaguzi wa October 29, 2025.
"Watu wanapotengeza uchumi wa maendeleo ni lazima wale ile pesa, Musoma kumekuwa na shida hakuna maeneo ya kula pesa. Na hata hiyo hela akiwa anataka kuila weekend watu wengi wanakwenda Mwanza. Kwa sababu hizi baa tulizo nazo ikifika saa sita Jeshi la polisi linasimama wewe uliyeagiza bia yako unakamatwa ndani."
Hivi Zero IQ yuko humu siku hizi nadhani ujumbe wa huyu jamaa utamkosha sana