Mwananchi: Sura mbili za Uhuru Kenyatta

Mwananchi: Sura mbili za Uhuru Kenyatta

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
pic+kenyata.jpg

Siku tatu au nne zilizopita niliandika juu ya hulka isiyosawa ya Rais Kenyatta hasa baada ya kutenguliwa kwa uchaguzi wa wiki iliyopita.

Kenyatta si Mwanademokrasia ila Katiba ya Kenya ni ya Kidemokrasia

Mara baada ya IEBC kutangaza matokeo hayo na Raila kuyapinga, wafuasi wa kiongozi huyo wa upinzani waliingia mitaani kuandamana lakini walikumbana na vikwazo na baadhi yao kuuawa.

Haya hivyo, kinyume na matarajio ya wengi, Rais Kenyatta aliingilia kati na kuruhusu waandamane kwa amani kufikisha ujumbe wa kupinga matokeo hayo bila kuharibu mali za watu wengine.

Kenyatta aliwataka polisi kujizuia kutumia nguvu kubwa na badala yake wawape ulinzi wakati wa maandamano hayo ya amani na yanayoruhusiwa kisheria kwa watu ambao hawafurahii matokeo ya uchaguzi.

Rais Kenyatta alisema hayo alipokuwa akitoa ujumbe kwa wagombea walioshindwa katika uchaguzi huo akiwa katika Jengo la Harambee alikokwenda kukutana na Kamati ya Maandalizi ya Hafla ya kuapishwa kwake.

Katika ujumbe huo uliomlenga zaidi Odinga aliyekuwa mgombea urais kupitia muungano wa Nasa, Kenyatta aliwataka wagombea wote ambao hawakuridhishwa na matokeo ya uchaguzi wachukue hatua zilizobainishwa na Katiba ili kupata wanachotaka — mojawapo ni kwenda mahakamani.

Kauli hiyo ya Kenyatta haikushangaza sana, maana kutokana na hulka ya mshindani wake, inaonyesha ni mtu wa kauli na matendo ya kidemokrasia kuliko viongozi wengi wa Afrika.

Katika kipindi chake cha uongozi, Rais Kenyatta ameruhusu wapinzani kufanya siasa bila bugudha, mikutano ya kisiasa na maandamano bila vikwazo na mambo mengi yanakwenda kwa mujibu wa Katiba ya nchi hiyo.

Hata hivyo, mara baada ya Odinga kuwasilisha malalamiko katika Mahakama ya Juu ambayo ilitoa hukumu ya kufuta matokeo ya uchaguzi huo, Rais Kenyatta alihutubia Taifa na kutangaza kutokubaliana na uamuzi huo lakini akasema ataheshimu mahakama. Zaidi, alisisitiza amani na utulivu wakati Wakenya wanasubiri uchaguzi wa marudio.

Hatua hiyo ilikuwa tisa na ikapongeza na dunia nzima, lakini muda mfupi baadaye, ndani ya saa 24, Kenyatta ameanza kuonyesha sura yake ya pili; alianza kutoa lugha za vitisho na kashfa kwa majaji waliohusika katika hukumu ya kihistoria iliyofuta ndoto za kuapishwa mapema.

Kenyatta anasema akirudia uchaguzi huo na akashinda tena, majaji hao walioongozwa na Jaji Mkuu David Maraga watamtambua. Anasema haiwezekani uamuzi uliofanywa na mamilioni ya Wakenya ukatenguliwa na watu wanne, na kuwa hapo kuna tatizo ambalo itabidi alishughulikie baada ya kurejea madarakani.
 
NIMEJIFUNZA KITU HAPO, NI VYEMA SANA KUSUBRI JAMBO LIISHE NDO UTOE PONGEZI AU LAWAMA, UNAWEZA KUJIKUTA UNALAMBA MATAPISHIN YAKO
 
Mkuu kwani Marekani ni mfano wa nchi zenye uhuru huo unaosema. Marekani imebaki kama kilanja wa chakula kwa wale walisosoma boarding schools.

Imebaki na mabavu ila ndani imeisha kabisa.
Uhuru yuko sahihi,ule uamuzi wa mahakama hauna tija yoyote.Upungufu kidigo haukosekani katika chaguzi,ya Marekani wote tumeyaona na kuyasikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo sura ya pili ni kampeni kuelekea uchaguzi wa pili. huwezi kuwa mnyonge wakati wenzako wanashangalia kutenguliwa matokeo kama vile ndo kushinda kwao
 
Na hii ndo inaonyesha si mtu wa demokrasia kama tunavyomchukulia. Maana itaonyesha vitisho ndo vimempa nafasi hiyo. Asingekuwa madarakani angesema hayo?

Ni mtu wa demokrasia zaidi ya tunavyomchukulia. Anavyoongea inaonyesha nayeye amesikia rulling kama sisi. imagine. Mahakama kuwa free kwa kiasi cha jamaa ku attempt kujua nini wanataka kuamua au uelekeo wa maamuzi. walivoamua akakubali right away. hichi ni kitu kikubwa sana.

hata mfanye nini hamuwezi kumfananisha na watu fulani. Najua wakosaji mara nyingi hujaribu kuuonyesha umma kwamba na wenzao ni kama wao. Pambaneni na Hali zenu
 
Bado ni bora mara elfu ukilinganisha na anaejifanya mteule wa Mungu huku kwetu ilhali ni shetani mkuu, asiye tayari kukosolewa. Hajiamini hata chembe, kila kauli kwake ni tishio na bado kutwa kucha anakaa kusihi wale anaowakandamiza wamuombee Mungu. Maombi pekee atakayopata ni kuomba malipo ya udhalimu wake.
Uhuru ni mwana demokrasia wa kweli hata kama ana mapungufu yake ya kibinadamu.
 
Kinachotofautisha binadamu ni hulka ya kutenda na si wazo. Ukweli ni kuwa Kenyatta kilichomfunga na Katiba yao na si kupenda kwake kama wengi tunavyosema. Alianza vizuro ila mwisho anataka kumaliza isivyo. Anapotaka kuwatoa waliotengua nafasi ya ushindi wake, ni kuonyesha anaweza ingilia mfumo wa kikatiba uliowaweka.

Kumbuka kuwa hawa si wateule wake. Unajua atawatoa vipi?
Bado ni bora mara elfu ukilinganisha na anaejifanya mteule wa Mungu huku kwetu ilhali ni shetani mkuu, asiye tayari kukosolewa. Hajiamini hata chembe, kila kauli kwake ni tishio na bado kutwa kucha anakaa kusihi wale anaowakandamiza wamuombee Mungu. Maombi pekee atakayopata ni kuomba malipo ya udhalimu wake.
Ni mtu wa demokrasia zaidi ya tunavyomchukulia. Anavyoongea inaonyesha nayeye amesikia rulling kama sisi. imagine. Mahakama kuwa free kwa kiasi cha jamaa ku attempt kujua nini wanataka kuamua au uelekeo wa maamuzi. walivoamua akakubali right away. hichi ni kitu kikubwa sana.

hata mfanye nini hamuwezi kumfananisha na watu fulani. Najua wakosaji mara nyingi hujaribu kuuonyesha umma kwamba na wenzao ni kama wao. Pambaneni na Hali zenu

Uhuru ni mwana demokrasia wa kweli hata kama ana mapungufu yake ya kibinadamu.
 
pic+kenyata.jpg

Siku tatu au nne zilizopita niliandika juu ya hulka isiyosawa ya Rais Kenyatta hasa baada ya kutenguliwa kwa uchaguzi wa wiki iliyopita.

Kenyatta si Mwanademokrasia ila Katiba ya Kenya ni ya Kidemokrasia

Mara baada ya IEBC kutangaza matokeo hayo na Raila kuyapinga, wafuasi wa kiongozi huyo wa upinzani waliingia mitaani kuandamana lakini walikumbana na vikwazo na baadhi yao kuuawa.

Haya hivyo, kinyume na matarajio ya wengi, Rais Kenyatta aliingilia kati na kuruhusu waandamane kwa amani kufikisha ujumbe wa kupinga matokeo hayo bila kuharibu mali za watu wengine.

Kenyatta aliwataka polisi kujizuia kutumia nguvu kubwa na badala yake wawape ulinzi wakati wa maandamano hayo ya amani na yanayoruhusiwa kisheria kwa watu ambao hawafurahii matokeo ya uchaguzi.

Rais Kenyatta alisema hayo alipokuwa akitoa ujumbe kwa wagombea walioshindwa katika uchaguzi huo akiwa katika Jengo la Harambee alikokwenda kukutana na Kamati ya Maandalizi ya Hafla ya kuapishwa kwake.

Katika ujumbe huo uliomlenga zaidi Odinga aliyekuwa mgombea urais kupitia muungano wa Nasa, Kenyatta aliwataka wagombea wote ambao hawakuridhishwa na matokeo ya uchaguzi wachukue hatua zilizobainishwa na Katiba ili kupata wanachotaka — mojawapo ni kwenda mahakamani.

Kauli hiyo ya Kenyatta haikushangaza sana, maana kutokana na hulka ya mshindani wake, inaonyesha ni mtu wa kauli na matendo ya kidemokrasia kuliko viongozi wengi wa Afrika.

Katika kipindi chake cha uongozi, Rais Kenyatta ameruhusu wapinzani kufanya siasa bila bugudha, mikutano ya kisiasa na maandamano bila vikwazo na mambo mengi yanakwenda kwa mujibu wa Katiba ya nchi hiyo.

Hata hivyo, mara baada ya Odinga kuwasilisha malalamiko katika Mahakama ya Juu ambayo ilitoa hukumu ya kufuta matokeo ya uchaguzi huo, Rais Kenyatta alihutubia Taifa na kutangaza kutokubaliana na uamuzi huo lakini akasema ataheshimu mahakama. Zaidi, alisisitiza amani na utulivu wakati Wakenya wanasubiri uchaguzi wa marudio.

Hatua hiyo ilikuwa tisa na ikapongeza na dunia nzima, lakini muda mfupi baadaye, ndani ya saa 24, Kenyatta ameanza kuonyesha sura yake ya pili; alianza kutoa lugha za vitisho na kashfa kwa majaji waliohusika katika hukumu ya kihistoria iliyofuta ndoto za kuapishwa mapema.

Kenyatta anasema akirudia uchaguzi huo na akashinda tena, majaji hao walioongozwa na Jaji Mkuu David Maraga watamtambua. Anasema haiwezekani uamuzi uliofanywa na mamilioni ya Wakenya ukatenguliwa na watu wanne, na kuwa hapo kuna tatizo ambalo itabidi alishughulikie baada ya kurejea madarakani.
Vipi sinzonje wetu na swahiba wake pua konzi(nterahamwe) ni wademokrasia???
 
Kwani nayeye Odinga hana sura mbili hivi? Alisema " sauti ya watu milioni kuni na tano haiwezi kubadilishwa na watu saba". Sasa korti ikatoa mri yake na hapo ndio amebadilika na kushabikia uamuzi wa watu saba.
 
Mamlaka ni mipaka si idadi mkuu. Hawa walikuwa na mamlaka hayo. Hata yeye pekee yake hana mamlaka ya kukataa maamuzi ya watu 7.

Hapa umekurupuka.Kuna sehemu yoyote aliposema atawashughulikia bila kufuata sheria na katiba ya nchi?Tusubiri akifanya hayo bila kufuata utaratibu maalum(sheria na katiba) ndo tuanze kumponda otherwise it's too early to judge huyu mwanademokrasia wa kweli.
 
Shida husikilizi hata taarifa. Ndo alivyosema na chama cha wanasheria kenya wakamwambia sisi si sehemu ya serikali yako na hatuchaguliwi na wewe.
Hapa umekurupuka.Kuna sehemu yoyote aliposema atawashughulikia bila kufuata sheria na katiba ya nchi?Tusubiri akifanya hayo bila kufuata utaratibu maalum(sheria na katiba) ndo tuanze kumponda otherwise it's too early to judge huyu mwanademokrasia wa kweli.
 
Niliandika juu ya Kenyatta majuzi. Sura yake ndo hiyo
Sura gani? Hivi hujui sasa hivi maamuzi ya mahakama ndo yako mashakani? Uhuru Kenyatta alikuwa sahihi muda huo wote! Kuna hakimu wawili walokuwa wanawasiliana na NASA huku kesi ikiendelea ! Rais Kenyatta amekuwa mvumilivu sana.
 
Uhuru yuko sahihi,ule uamuzi wa mahakama hauna tija yoyote.Upungufu kidigo haukosekani katika chaguzi,ya Marekani wote tumeyaona na kuyasikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa na hasa ukiwa na vituo 41000 vya kupiga kura lazima mapungufu yatokee hata kwa uchaguzi wa marudio.Hapo Ndio ule uamuzi wa korti una kasoro.
 
Uhuru ameifananisha Supreme court na kikosi cha wapindua nchi!!
 
Back
Top Bottom