Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
Jibu ni moja tu. Weledi hawana. Hawapo kwa ajili ya wananchiNdugu yangu Chalamila angekua humu jf ningempa mbinu ya kulitatua hilo tatizo.
Hivi kwanini wakubwa hawapendi kujiunga social media ukiachia mama mmoja waziri mwenye weledi
Mia saba tu ndo uwaachie watu shombo gari zima...Jana Oktoba 2,,2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni na Kimara kukagua utoaji wa huduma na kuzungumza na wananchi.
Akiwa Kivukoni, alikutana na changamoto ya wafanyabiashara wa samaki waliodai wamezuiwa kupakia bidhaa zao kwenye mabasi mapya. Walisema hali hiyo inawapa ugumu wa kufikisha samaki sokoni.
Majaliwa alimuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, akae na wafanyabiashara hao ili kutafuta suluhu, ikiwemo kuangalia njia ya kufunga mizigo yao au kutumia utaratibu mwingine. Alisisitiza kuwa changamoto hiyo lazima ipatiwe ufumbuzi mapema.
Ziara hiyo ilihitimishwa Kimara, ambapo Waziri Mkuu alitaka mabasi mapya yaendelee kutoa huduma bora na salama kwa wananchi.
Pia Soma: Mabasi mapya ya Mwendokasi ya MOFAT yaanza kubeba Abiria Gerezani–Mbezi
Hizo ndio kwenye ndege Huwa abiria wanazikumbatia kwenye siti zao ?kwamba hata ukitumia ndoo zilizofungwa vyema hairuhusiwi!!!!sato zinapanda ndege kwa kutumia ndoo zenye mifuniko,sembuse bus la mwendokasi!!!!!
yaani hao wahudumu wa mwendokasi akili zimelalia kwenye katazo tu bila kutoa suluhisho l katazo lao,ni kama wana visa na wauza samaki.
Weka mbinu hapa, acha maneno mingiNdugu yangu Chalamila angekua humu jf ningempa mbinu ya kulitatua hilo tatizo.
Hivi kwanini wakubwa hawapendi kujiunga social media ukiachia mama mmoja waziri mwenye weledi
Kiongozi we andika huwezi jua labda yumo humuNdugu yangu Chalamila angekua humu jf ningempa mbinu ya kulitatua hilo tatizo.
Hivi kwanini wakubwa hawapendi kujiunga social media ukiachia mama mmoja waziri mwenye weledi
Sasa na nyie wananchi hebu oneni aibu basi? Yaani magari mazuri yale mnataka kuyachakaza haraka kwa kuanza kuingia ndani na mizigo yenu hiyo? Kapandeni DCM na samaki zenu huko achaneni na gari hizo bado mpya zinataka usmati tu
Watanzania walio wengi ni wajinga!Jana Oktoba 2,,2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni na Kimara kukagua utoaji wa huduma na kuzungumza na wananchi.
Akiwa Kivukoni, alikutana na changamoto ya wafanyabiashara wa samaki waliodai wamezuiwa kupakia bidhaa zao kwenye mabasi mapya. Walisema hali hiyo inawapa ugumu wa kufikisha samaki sokoni.
Majaliwa alimuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, akae na wafanyabiashara hao ili kutafuta suluhu, ikiwemo kuangalia njia ya kufunga mizigo yao au kutumia utaratibu mwingine. Alisisitiza kuwa changamoto hiyo lazima ipatiwe ufumbuzi mapema.
Ziara hiyo ilihitimishwa Kimara, ambapo Waziri Mkuu alitaka mabasi mapya yaendelee kutoa huduma bora na salama kwa wananchi.
Pia Soma: Mabasi mapya ya Mwendokasi ya MOFAT yaanza kubeba Abiria Gerezani–Mbezi
Amekurupuka huyoLa muhimu ni watafute suluhisho maana ukisema wapande Dcm usicho jua n kua hakuna Daladala inayo Fanya route ya kimara - kivukoni...
Tanzania nchi yangu....Mkiharibu magari na matenga yenu ya samaki baadaye mnaanza kuilaumu serikali. Halafu hiyo shombo ya samaki kwenye vipedo vyetu haifai, tafuteni maguta kama wafanyabishara wenzenu wa ndizi mbebee hao samaki.
Wapo humu sema kwa majin banfia, hawana ujasiri wa kuwa live humu.Ndugu yangu Chalamila angekua humu jf ningempa mbinu ya kulitatua hilo tatizo.
Hivi kwanini wakubwa hawapendi kujiunga social media ukiachia mama mmoja waziri mwenye weledi
shida ya kazi nyingi has za kutoa huduma,mhudumu hatakiwi kutoa maoni hasa ya kile anachokiona eneo la kazi,ni kutekeleza anachosema boss hata kama boss hajui kitu.Mkuu hao wahudumu wameajiriwa na wana wategemezi wakileta za kujua kibarua hawana
Acha wakaze hadi abiria waisome namba