Mwananchi ungeambiwa kuchapa kiongozi kiboko, ungemchapa nani na kwa sababu zipi?


Wateule wengi wanafanya kazi kwa mizuka ya kumfurahisha JIWE ,hawana weledi wowote wa kazi....Wachache sana ambao wanajielewa na wamejikita katika kazi.(Kama Anthony Mtaka kidogo ana strategies katika mkoa wake).
 
Mleteni rashiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiid.
 
Kibwengo 👿👿👿
 
Yaani ningemchapa jamaa mmoja hivi ile inaitwa Super Six, akipangusa makalio tu nafutaa!! Ananikera balaa!! kwanza sijui kwa nini corona imeshindwa kumpitia.... Mungu nisamehe ila kazidi sana huyu jamaa.
 
Ningemchapa lisu viboko sita jamaa aliamua kuwakumbatia Sana mabeberu.

Ningemchapa zito viboko vinne kwa sababu aliamua kupiga kampeni world bank tunyimwe mikopo.

Ningemchapa viboko viwili Mnyika kwakua kakataa wabunge wa viti maalum chadema kwenda Bungeni.
 
Kuna mmoja huyo ningecharaza za mgongoni hadi kichwani...
 
Reactions: BAK
Mie ningemchapa huyo anayejiita Mwendawazimu na kumchapa sana kama alijua ni kichaa kwani alikubali kuja kulivuga Taifa na kusababisha chuki za kutisha?
 
Zenji Madevuu ashike kiatu tandika sawasawa kosa kuwa king'ang'anizi bilatija
kwa bara jobu ni dom mjengoniii yule chalii mfupi namwingiza chini yameza anakula mboko zakutosha mpaka mwanya wachini uzibe kumaliza viubabe vyake vyakishuleshule.
 
Nashauri viongozi waendelee kucharaza viboko maana huu uzi machadema wote wamesema watachapa viongozi bakora HAKUNA hata mmoja anayesema ni kinyume na Sheria.
Kama ni wao wewe imekuwaje umejitokeza humo.
 
Dogo hapa anasema Ndali sijui anamaana gani huyu dent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…