Mwananchi wa Mbeya: TANESCO msikate umeme, wa mitandao msizime tuangalie kinachoendelea Kabwe

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Jamani, hii ndiyo hali inayoendelea Mbeya. Hali ni mbaya. Hii hapa ni stendi ya Kabwe ambapo pale watu wanakuwanga nyomi, watu wanakuwanga wengi. Sa hivi Kabwe ni nyeupe. Nyeupe. Watu tupo tu nyumbani tumetulia, tumenyosha miguu.

Tanesco Mbeya, tunaomba msikate umeme. Narudia tena, Tanesco Mbeya tunaomba msikate umeme.

Mashirika ya Wi-Fi, msianze kusema Wi-Fi huwa sijui tunarekebisha nini, Wi-Fi ianze kusumbua. Tunaomba msikate umeme. Hii ndiyo kabwe ya sasa. Hii kabwe ya sasa nyeupe. Haya, iangalie kabwe ya zamani, hii ndiyo kabwe ya zamani sasa. Watu huku na huku, huku na kule. Kabwe ya zamani. Hii ndiyo kabwe ya zamani, ila ya kabwe ya sasa nyeupe.

Watu wamefunga maduka, wapo zao nyumbani wamenyosha miguu. Tanesco Mbeya tunaomba msikate umeme tuendelee kusubscribe tujue kila kitu kinachoendelea.

Hapa leo ndiyo ni miamini tunaishi kwa kutegemeana. Bidi sisi wafanya maduka, wauza maduka, bidi tuwauzie wateja wanaopakiwa na magari, wanapakiwa na bodaboda, wanapakiwa na bajaji. Watuletetee sisi hawa wateja na sisi hawa wateja tuwahudumie na mizigo wapelekewe wapi? Wapelekewe madereva bajaji wawapakiwe warudishe nyumbani. Hii ndiyo Mbeya. Kabwe nyeupe.
 
Hapa leo ndiyo ni miamini tunaishi kwa kutegemeana. Bidi sisi wafanya maduka, wauza maduka, bidi tuwauzie wateja wanaopakiwa na magari, wanapakiwa na bodaboda, wanapakiwa na bajaji. Watuletetee sisi hawa wateja na sisi hawa wateja tuwahudumie na mizigo wapelok.ekewe wapi? Wapelekewe madereva bajaji wawapakiwe warudishe nyumbani. Hii ndiyo Mbeya. Kabwe nyeupe.
Ok.🐒
 
Wanambeya mmeamua kuleta elinino wenyewe, kanakwamba hamuwezi kuisubiri😁
 
Jamani, hii ndiyo hali inayoendelea Mbeya. Hali ni mbaya. Hii hapa ni stendi ya Kabwe ambapo pale watu wanakuwanga nyomi, watu wanakuwanga wengi. Sa hivi Kabwe ni nyeupe. Nyeupe. Watu tupo tu nyumbani tumetulia, tumenyosha miguu.

Tanesco Mbeya, tunaomba msikate umeme. Narudia tena, Tanesco Mbeya tunaomba msikate umeme.

Mashirika ya Wi-Fi, msianze kusema Wi-Fi huwa sijui tunarekebisha nini, Wi-Fi ianze kusumbua. Tunaomba msikate umeme. Hii ndiyo kabwe ya sasa. Hii kabwe ya sasa nyeupe. Haya, iangalie kabwe ya zamani, hii ndiyo kabwe ya zamani sasa. Watu huku na huku, huku na kule. Kabwe ya zamani. Hii ndiyo kabwe ya zamani, ila ya kabwe ya sasa nyeupe.

Watu wamefunga maduka, wapo zao nyumbani wamenyosha miguu. Tanesco Mbeya tunaomba msikate umeme tuendelee kusubscribe tujue kila kitu kinachoendelea.

Hapa leo ndiyo ni miamini tunaishi kwa kutegemeana. Bidi sisi wafanya maduka, wauza maduka, bidi tuwauzie wateja wanaopakiwa na magari, wanapakiwa na bodaboda, wanapakiwa na bajaji. Watuletetee sisi hawa wateja na sisi hawa wateja tuwahudumie na mizigo wapelekewe wapi? Wapelekewe madereva bajaji wawapakiwe warudishe nyumbani. Hii ndiyo Mbeya. Kabwe nyeupe.
Bidi maana yake nini?
 
Wakubwa hawapendi bajaj ziingie highway vile zinawasumbua njiani
Bajaji,bodaboda ni uchafu tu,ukiongeza madereva wajingawajinga ndiyo inazidi kuwa uchafu, serikali hawatakiwi kusajili tena bodaboda na bajaji
 
Fujo Mbeya siyo poa

Vijana wamedekezwa,yaani wanafanya Fujo mbele ya polisi?!
Vyombo vya usalama vinamsaliti mkuu wa mkoa kwasababu wao ndiyo wamiliki wa bajaji!
Mbeya haikutosha kuwa Jiji inatakiwa kusafishwa,MWANJELWA na kabwe zinatakiwa kupunguziwa umaarufu wake ili kupunguza msongamano maeneo hayo!ila Sina uhakika kama njia iliyotumika ni sahihi!
 
Mapinduzi(mabadiliko) yataanzia mbeya(nyanda za juu kusini).
Hapo nyuma 1990's Migomo ya vyuo vikiu na sekondari iliongozwa na vijana wa ukanda huo.

Save this post and Trust me😁😁😁
 
Back
Top Bottom