Mwananchi wa Mbeya: TANESCO msikate umeme, wa mitandao msizime tuangalie kinachoendelea Kabwe

Mwananchi wa Mbeya: TANESCO msikate umeme, wa mitandao msizime tuangalie kinachoendelea Kabwe

Kwani mbeya ina umuhimu kwa kila mtu hadi wote tujue kinachoendelea huko?
Na u ajiita mwamposa?? Mkuu jina la mwamposa ni la mkooa huo alafu unaandika upuuzi. Au wewe ni muuza maji ya upako hapo kawe?
 

Jamani, hii ndiyo hali inayoendelea Mbeya. Hali ni mbaya. Hii hapa ni stendi ya Kabwe ambapo pale watu wanakuwanga nyomi, watu wanakuwanga wengi. Sa hivi Kabwe ni nyeupe. Nyeupe. Watu tupo tu nyumbani tumetulia, tumenyosha miguu.

Tanesco Mbeya, tunaomba msikate umeme. Narudia tena, Tanesco Mbeya tunaomba msikate umeme.

Mashirika ya Wi-Fi, msianze kusema Wi-Fi huwa sijui tunarekebisha nini, Wi-Fi ianze kusumbua. Tunaomba msikate umeme. Hii ndiyo kabwe ya sasa. Hii kabwe ya sasa nyeupe. Haya, iangalie kabwe ya zamani, hii ndiyo kabwe ya zamani sasa. Watu huku na huku, huku na kule. Kabwe ya zamani. Hii ndiyo kabwe ya zamani, ila ya kabwe ya sasa nyeupe.

Watu wamefunga maduka, wapo zao nyumbani wamenyosha miguu. Tanesco Mbeya tunaomba msikate umeme tuendelee kusubscribe tujue kila kitu kinachoendelea.

Hapa leo ndiyo ni miamini tunaishi kwa kutegemeana. Bidi sisi wafanya maduka, wauza maduka, bidi tuwauzie wateja wanaopakiwa na magari, wanapakiwa na bodaboda, wanapakiwa na bajaji. Watuletetee sisi hawa wateja na sisi hawa wateja tuwahudumie na mizigo wapelekewe wapi? Wapelekewe madereva bajaji wawapakiwe warudishe nyumbani. Hii ndiyo Mbeya. Kabwe nyeupe.
Habari,

Kwa upande wetu, kazi yetu msingi ni kuzalisha, kusafirisha, na kusambaza umeme. Ikitokea umeme umekatika katika eneo, jua kuna sababu za kiufundi na sio vinginevyo.

Asante. ^DK
 
Back
Top Bottom