Mkuu ndo umetoka jela Leo?Kwani kuna nini huko?
Hapana.nataka tu kujua ni nini hasa kinacho endelea!Mkuu ndo umetoka jela Leo?
Ok.๐
Jamani, hii ndiyo hali inayoendelea Mbeya. Hali ni mbaya. Hii hapa ni stendi ya Kabwe ambapo pale watu wanakuwanga nyomi, watu wanakuwanga wengi. Sa hivi Kabwe ni nyeupe. Nyeupe. Watu tupo tu nyumbani tumetulia, tumenyosha miguu.
Tanesco Mbeya, tunaomba msikate umeme. Narudia tena, Tanesco Mbeya tunaomba msikate umeme.
Mashirika ya Wi-Fi, msianze kusema Wi-Fi huwa sijui tunarekebisha nini, Wi-Fi ianze kusumbua. Tunaomba msikate umeme. Hii ndiyo kabwe ya sasa. Hii kabwe ya sasa nyeupe. Haya, iangalie kabwe ya zamani, hii ndiyo kabwe ya zamani sasa. Watu huku na huku, huku na kule. Kabwe ya zamani. Hii ndiyo kabwe ya zamani, ila ya kabwe ya sasa nyeupe.
Watu wamefunga maduka, wapo zao nyumbani wamenyosha miguu. Tanesco Mbeya tunaomba msikate umeme tuendelee kusubscribe tujue kila kitu kinachoendelea.
Hapa leo ndiyo ni miamini tunaishi kwa kutegemeana. Bidi sisi wafanya maduka, wauza maduka, bidi tuwauzie wateja wanaopakiwa na magari, wanapakiwa na bodaboda, wanapakiwa na bajaji. Watuletetee sisi hawa wateja na sisi hawa wateja tuwahudumie na mizigo wapelok.ekewe wapi? Wapelekewe madereva bajaji wawapakiwe warudishe nyumbani. Hii ndiyo Mbeya. Kabwe nyeupe.
Wakubwa hawapendi bajaj ziingie highway vile zinawasumbua njianiKwani kuna nini huko?
Bidi maana yake nini?
Jamani, hii ndiyo hali inayoendelea Mbeya. Hali ni mbaya. Hii hapa ni stendi ya Kabwe ambapo pale watu wanakuwanga nyomi, watu wanakuwanga wengi. Sa hivi Kabwe ni nyeupe. Nyeupe. Watu tupo tu nyumbani tumetulia, tumenyosha miguu.
Tanesco Mbeya, tunaomba msikate umeme. Narudia tena, Tanesco Mbeya tunaomba msikate umeme.
Mashirika ya Wi-Fi, msianze kusema Wi-Fi huwa sijui tunarekebisha nini, Wi-Fi ianze kusumbua. Tunaomba msikate umeme. Hii ndiyo kabwe ya sasa. Hii kabwe ya sasa nyeupe. Haya, iangalie kabwe ya zamani, hii ndiyo kabwe ya zamani sasa. Watu huku na huku, huku na kule. Kabwe ya zamani. Hii ndiyo kabwe ya zamani, ila ya kabwe ya sasa nyeupe.
Watu wamefunga maduka, wapo zao nyumbani wamenyosha miguu. Tanesco Mbeya tunaomba msikate umeme tuendelee kusubscribe tujue kila kitu kinachoendelea.
Hapa leo ndiyo ni miamini tunaishi kwa kutegemeana. Bidi sisi wafanya maduka, wauza maduka, bidi tuwauzie wateja wanaopakiwa na magari, wanapakiwa na bodaboda, wanapakiwa na bajaji. Watuletetee sisi hawa wateja na sisi hawa wateja tuwahudumie na mizigo wapelekewe wapi? Wapelekewe madereva bajaji wawapakiwe warudishe nyumbani. Hii ndiyo Mbeya. Kabwe nyeupe.
Bajaji,bodaboda ni uchafu tu,ukiongeza madereva wajingawajinga ndiyo inazidi kuwa uchafu, serikali hawatakiwi kusajili tena bodaboda na bajajiWakubwa hawapendi bajaj ziingie highway vile zinawasumbua njiani
Lakini situmesikia wameruhusiwa tena au ilikuwa fixWakubwa hawapendi bajaj ziingie highway vile zinawasumbua njiani
Hata sina uhakika, serikali iambiwe imeshindwa kazi!!!Lakini situmesikia wameruhusiwa tena au ilikuwa fix
Fujo Mbeya siyo poa
Hata mimi sijamwelewa sababu hata uandishi wake mhhh ni changamotoKazi kweli