The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Sio kwamba hujaolewa maelezo ya gazeti au?Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali...
Magufuli huwezi kumpiga kijinga kijinga mbele za watu ukabaki salama! Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli! Samia mwenyewe licha ya makelele ya machawa bado kapigwa chini!Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali....
Hii ni kama gazeti la majira 1995 lilipotangaza matokeo ya uchaguzi zanzibar kuwa shariffu Hamadi alishinda likafungiwa lakini ukweli haufutiki!Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali...
Hawana simu janja!Waliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
Hahahaha ila wana hela ya bando ya kuingia mtandaoni kupiga kuraWaliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
Kura zimeeleweka kabisaSio kwamba hujaolewa maelezo ya gazeti au?
Haahaha uzuri waliuza swali kwa lugha ya kiingereza! Naamini waliopig kura ni watu wenye uwezo wa kufikiri vizuri na kutambua mambo kwa undani! Tulieni Machwa hii ni wenu!Waliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
Hahhahah hii weekend ni nzuri sana! Uchaguzi unakuja wajipange sana hasa wanapoamua kumponda Magufuli! π π π π π πNi Aibu sana kushindanishwa na maiti,, Alafu maiti ikaibuka na ushindi mnono π€π€π€π€.
The choice is yours truely.Number sometimes do lie