Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Mhariri wa hilo gazeti la kipumbavu afunguliwe mashtaka. Anatumia uhuru wake kijinga.
Wewe Miasa utamkubali vipi Magufuli? Endelea kuamini unachokiamini, lakini 2025 usipoiba kura, hata hiyo 17 ya sensa ya uchumi kwa gazeti hili, hauzifikii
Kina nani hao wewe?
 
Ishu sio maskini kufurahia sijui wenye pesa kutingishwa. Its been like that before hata Magufuli hajafikiriwa kuwa raisi.

Raia wanataka kuona uwajibikaji wa viongozi. Hii element ndio inayokosekana kwenye awamu hii, kuna watu ambao wanakuwa untouchables wakati raia anashughulikiwa hata akiamua kupiga usingizi kwenye gari lake binafsi.

Kama watu wanafanya ufisadi wa wazi kabisa ambao huitaji hata degree kuuona, askari wanaua raia hovyo kwa visingizio vya kitoto. Nobody cares as if nchi haina katiba wala raisi. Imefikia hata ile imani ndogo iliokuwepo haipo tena sababu kila kitu kinajiendea hobela hobela wa kupaza sauti hana habari watu wataacha kumkumbuka Magufuli?
 
utafiti huo? Lisu hawezi kumzidi Magufuli kwa chochote!
Utafiti gani? Kwamba ulikua hauoni online polls zikikosolewa humu mkidai wapiga kura hawako twitter ila vijijini? Ila cha ajabu JPM akishinda online poll ya watu buku pekee mnaifanya big deal..... huu unafiki unawasaidia nini? Kama mnajiamini why mlivuruga uchaguzi? Si mngeacha aende toe to toe na upinzani tujue mbivu na mbichi?

Bunch of cowards and lunatics!!
 
kwenye polls ya mwananchi wanatamani uchumi wa JPM.
Watu elfu 1? Kati ya watu million 60? Haupo serious. Hiyo sampling yao ilifanyikaje? Hakuna mtu timamu atachagua contractionary monetary policy? Haikuzaa ajira wala multiplier effect kwa wananchi zaidi pesa zilikua nyingi serikalini kwa expense ya private sector.

If at all 57% walichagua JPM kweli basi nchi hii ina wajinga wengi sana.
 
Wateambie sasa, nani wa kwanza na nani wa mwisho.
Au ndiyo “tutaitisha zoezi la kura za maoni kama kawaida. Tutatangaza matokeo halafu tutayakataa”.

Si wangesema tu kwamba maoni hao ni ya wasomaji tu na siyo ya kwao?
 
Wewe mwenyewe mjinga tu!

Hili zoezi hata likirudia sasa na wewe upige kura, bado mtaangukia pua, wajinga nyinyi
 
Huyo Zitto unayemtumikia alojaa udini ndo maana unamuona kanyamaza licha ya masaibu ya watu kupotea na kufukuzwa kwenye makazi yao kama tunavyoshuhudia Ngorongoro!
Zitto yupi? Mimi nipo chadema miaka yote na wala sijawahi kumfuata zitto, I'm too independent to rest my political decisions to a sole politician. All in all Mama samia anatokea familia ya CUF dam dam so she's more of a Maalim supporter so Zitto hawezi kumsakama after all she sponsors them in a lot of activity. Kama akiwasaidia wakapata wabunge 50+ why would they fight her? "p"olitics is a game of opportunity!!
 
Imesimama njoo ukalie
 
Panapo ukweli uongo hujitenga !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…