Mwanangu Ally K wa ilala hauoni aibu kuishi kwa wazazi wako hapo maskani

Mwanangu Ally K wa ilala hauoni aibu kuishi kwa wazazi wako hapo maskani

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Sina haja ya kumdhalikisha mtu hapa nipo kuusema ukweli hapa kuna mambo yananikera sana hapa na muhusika yupo hapa jukwani hii thread anaiona bila shaka hapa

Ally k wazazi wako wanachukizwa na hiyo tabia yako ya kuishi hapo kwenu wazazi wako wamenilalamikia kwamba unawanyima uhuru na halafu sie masela wenzako wa ilala pale kijiwe chetu mchikichini tunakuchana kila siku ila sijui kwanini hautuelewi aisee

Wazazi wako kutwa wanatulaumu kwamba tunakupoteza wakati sie pia tunakuchana kila siku na pia wazazi wako wanatuambia kwamba sie tunakufundisha kuvuta bangi hii sawa.

Ilala in da Dar eSsalaam
 
Hao wazazi ndo wamemwaribu, wanashindwaje kumfukuza? Wamelea ujinga wenyewe, wacha uwatese.
 
Hao wazazi wa huyo dogo nao ni ndezi tu.

Kwanini wasimfukuze mtoto wao kama wanaona tayari amekua?

Inatakiwa watoe begi lake nje ya nyumba na kumwambia kila la heri huko aendako na kukaza mattyakko yake.
 
Back
Top Bottom