Mwanangu Ally K wa ilala hauoni aibu kuishi kwa wazazi wako hapo maskani

Sina haja ya kumdhalikisha mtu hapa nipo kuusema ukweli hapa kuna mambo yananikera sana hapa na muhusika yupo hapa jukwani hii thread anaiona bila shaka hapa

Ally k wazazi wako wanachukizwa na hiyo tabia yako ya kuishi hapo kwenu wazazi wako wamenilalamikia kwamba unawanyima uhuru na halafu sie masela wenzako wa ilala pale kijiwe chetu mchikichini tunakuchana kila siku ila sijui kwanini hautuelewi aisee

Wazazi wako kutwa wanatulaumu kwamba tunakupoteza wakati sie pia tunakuchana kila siku na pia wazazi wako wanatuambia kwamba sie tunakufundisha kuvuta bangi hii sawa

"Mods msifute huu uzi umfikie mwanetu Ally K yeye hana noma "
Ilala in da Dar eSsalaam
Sasa kama mmefundisha kuvuta bangi mlitegemea nini?ndo maana akili za kuhama kwao hana!
 
Sina haja ya kumdhalikisha mtu hapa nipo kuusema ukweli hapa kuna mambo yananikera sana hapa na muhusika yupo hapa jukwani hii thread anaiona bila shaka hapa

Ally k wazazi wako wanachukizwa na hiyo tabia yako ya kuishi hapo kwenu wazazi wako wamenilalamikia kwamba unawanyima uhuru na halafu sie masela wenzako wa ilala pale kijiwe chetu mchikichini tunakuchana kila siku ila sijui kwanini hautuelewi aisee

Wazazi wako kutwa wanatulaumu kwamba tunakupoteza wakati sie pia tunakuchana kila siku na pia wazazi wako wanatuambia kwamba sie tunakufundisha kuvuta bangi hii sawa

"Mods msifute huu uzi umfikie mwanetu Ally K yeye hana noma "
Ilala in da Dar eSsalaam
Sasa mwaumme km huyu mleta thread anatofauti gani na gigy money wa bongo..
https://jamii.app/JFUserGuide!
 
Kwa hiyo wazazi walizaa ili wamchoke mtoto wao,?
 
Wewe ni mwijaku bila shaka[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom