Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Acha tu mkuu.Mkuu umeeleza kila jambo hawa wanadhani sisi wajinga! Halafu wakamdanganya na elfu ishirini hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu mkuu.Mkuu umeeleza kila jambo hawa wanadhani sisi wajinga! Halafu wakamdanganya na elfu ishirini hahahaha
ebu nenda kagoogle dalili za kansa ya damu , Acha ubishi wa kipumbav , nmewai kuwa mwl na nmeona mengi sana kuliko ufikiriavyo , adhabu kwa mwanafunzi wa kiafrika haiepukiki , huyo mtoto hajafa kwa fimbo ya mwalimu , ACHA UBISHI ELEWA , HUYO KIJANA AMMEANGUKIWA NA JUMBA BOVU , TUPENDE KUPIMA AFYA ZETU , KUTEMBEA BILA KUYUMBA HAIMAANISHI WW NI MZM , MNAENDA HARIBU MAISHA YA KIJANA WA WATU WKT MADAKTARI WASHAMALIZA KAZI YAOJaribu kuvaa kiatu cha mhusika, mambo haya yanafikirisha:;
1: Mhusika wa hilo tukio kufichwa asijulikane na mama wa mtoto, inaonyesha dhahiri hawana utu kuanzia uongozi wa shule
2: Anayetakiwa kumwadhibu mtoto ni mkuu wa shule kulingana na sheria walizowekewa, hapa mkuu wa shule ni namba 2 kwenye hii ishu baada ya aliyetenda hili tukio
3: Ripoti ya daktari nayo ina namna ya rushwa, ufanyike uchunguzi mwingine na madaktari wenye utu
Likimshinda waziri mkuu wa nchi anapitapita huku pia atasaidia familia hii haki kupatikana
hili pia ndo la kuhojiIna maana ummy mwalimu mtu mpaka anakufa hamumfanyii operation mpaka afe?
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Uliacha ualimu ukakimbilia fani ya u doctor napo huja fit bado. Au kijana ndio nduguyo au ndio umeandika hiyo ripoti?ebu nenda kagoogle dalili za kansa ya damu , Acha ubishi wa kipumbav , nmewai kuwa mwl na nmeona mengi sana kuliko ufikiriavyo , adhabu kwa mwanafunzi wa kiafrika haiepukiki , huyo mtoto hajafa kwa fimbo ya mwalimu , ACHA UBISHI ELEWA , HUYO KIJANA AMMEANGUKIWA NA JUMBA BOVU , TUPENDE KUPIMA AFYA ZETU , KUTEMBEA BILA KUYUMBA HAIMAANISHI WW NI MZM , MNAENDA HARIBU MAISHA YA KIJANA WA WATU WKT MADAKTARI WASHAMALIZA KAZI YAO
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
report ya daktari inasema kansa ya damu , je uunataka mwl ashikwe kwa kosa gan ? badala ya kushabikia ujinga bas jifunze kuwapeleka watoto wako shulen wakiwa wamepima afya zao , lasivyo utawabebesha wengine lawama za kwakoMwalimu yuko wapi?
mama alisema hana ela ya kumpeleka hospitali ulitaka wafanyaj ? hv watu weusi nan amewaloga ? hiyo ela si ndo imefungua hatua za kwanza za kwenda kulijua ttzo la mtoto ? PIMENI WATOTO WENU KABLA YA KUWAKABIDHI WALIMU , NAZIPONGEZA BAADHI YA SHULE HAZIPOKEI MTOTO WAKO BILA REPORT YA VIPIMO VYA AFYAKwa hiyo mtoto hakupigwa? Wewe unafikiri kwanini walimpa pesa na kutaka kuyamaliza? Hivi unafikiri watu tu wajinga?
hv ww ulichapwa fimbo ngap ? umewai fariki ? tumieni akili na heshimuni report ya daktari , KCMC sio kituo cha afya ? dalili alizokuwa nazo mtoto tangu awali hazihusiani na fimbo za mwl , dalili ni kansa ya damu tupu , KAMA HUJAWAI KUWA MWL HUEZ ELEWA , NMEPITIA HUKO , HAO WATU WANAFANYA KAZ KWENYE MAZINGIRA MAGUMU SANA , WAKIADHIBU WATOTO WANALALAMIKIWA , WATOTO WAKIFERI WANALALAMIKIWA , WATOTO WENYEW MNAWAJUWA BILA FIMBO HAWAENDIMkuu umeeleza kila jambo hawa wanadhani sisi wajinga! Halafu wakamdanganya na elfu ishirini hahahaha
kabisa ingawaj anasema aliambiwa mtoto alikuwa na kansa ya damu , je kama alikuwa haamini majibu ya daktari , kwann hakuchukua hatua kipindi hicho ?Kuna haja ya kusikiliza upande wa pili sidhani kama alio ya andika yote yako accurate, ila pole sana kifo cha mtoto wako kisikie kwa mgine tu kinauma sanaa, .......ila hi stori is not adding up, post mortem report ndo final official report inao pelekwa hata mahakamani kuja kui-challange sio jambo raisi.
mwl. mkuu hakujuwa ukubwa wa ttzo , kwann unatumia taarifa ya upande mmoja halaf kwann hutak jikita pia kwenye majibu ya daktari wa mwisho kuwa ana KANSA YA DAMUMbona wewe hukufichwa? Hoja hapa ni mtuhumiwa ni nani? Kwanini mwalimu mkuu kamficha kabla hata mtoto hajafa maana alimpa na pesa ya matibabu akamtibu mtoto na kumuomba kuwa ataongea na mhusika.
Ushawahi kumpiga ngumi ya tumbo mwanao akiwa na miaka sita?mwl. mkuu hakujuwa ukubwa wa ttzo , kwann unatumia taarifa ya upande mmoja halaf kwann hutak jikita pia kwenye majibu ya daktari wa mwisho kuwa ana KANSA YA DAMU
HUYU MAMA ANATAKA TUMIA KIFO CHA MTOTO WAKE KAMA MTAJI , HAPA ANATAFUTA HAKI GANI ZAID YA ELA TU ?
PIMENI WATOTO WENU KABLA HAMJAWAKABIDHI KWA WALIMU , ILI KUEPUKA KUWAHARIBIA MAISHA WALIMU KAMA HV MNAVYOTAKA MWARIBIA MAISHA KIJANA WA WATU .
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
We ni mpumbavu, kwaku wa huna mtoto ndio maana huna uchungu hata kidogo. Utasa sio kosa lako dada, endelea kumuomba Mungu utabarikiwa na wewe, siku moja utakuwa na uchungu na matukio kama haya.kabisa ingawaj anasema aliambiwa mtoto alikuwa na kansa ya damu , je kama alikuwa haamini majibu ya daktari , kwann hakuchukua hatua kipindi hicho ?
HUYU MZAZI ANATAKA TUMIA KIFO CHA MTOTO WAKE KAMA MTAJI KWAKE
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
yaaan humu kuna wajinga wengi , ukisoma story ya huyo mtoto mpk mauti ni kama huyo mama anataka tumia mauti ya mwanae iwe mtaji wake kiuchumi , anampa presha mwl mkuu amuweke wazi mwl wa field ( hii ni kosa pia ) ili mwl wa field aje ampooze huyo mama , ila ukwel anaujuwa kuwa mwanae alikufa kwa KANSA YA DAMU na dalili alikuwa nazo .Unajua kosa ni kwamba watoto wengi huletwa mashuleni bila kufanyiwa thorough medical check up kwa chronical disease, sidhani kama mualimu anaweza kupiga ngumi ya tumboni mtototo wa miaka 7.
kifo kina muda maalumu ?Kwa nini afariki kwa kansa baada ya kupigwa/kuadhibiwa na mwalimu?
Anasemaje? tunaomba screenshot Dada Jane?Gwajima amerusha kwenye ukurasa wake
umezoea ushabiki wa kijinga na hupend kusimama na ukwel , kiukwel nyiny mnafanya walimu wasifanye kaz yao kikamilif , mwaka 2016 walimu wa tarafa ya mlimba waligoma kutoa adhabu kwa watoto ila walikuwa wanaingia darasani wanafundisha na kutoka kwa mwaka huo mzm na matokeo ni Tarafa ya Mlimba iliifanya Wilaya ya kilombero kuwa wilaya za mwisho kbs ktk matokeo ya drs la 7 mwaka huoUliacha ualimu ukakimbilia fani ya u doctor napo huja fit bado. Au kijana ndio nduguyo au ndio umeandika hiyo ripoti?