DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
yaaan humu kuna wajinga wengi ,
Acha kupindisha mjadala. Hizo ni mbinu za kitoto.

Mwalimu lazima achukuliwe hatua, sambamba na kumuwajibisha daktari mbumbumbu mwenye D MBILI asiyeweza kufanya uchunguzi wa kitabibu!

Na mkurugenzi pia atawajibika kwa kuunga mkono mauaji na ukanjanja wa daktari mwenye D MBILI!
 
Huyo mwalimu wa field ana nini cha kumpooza huyo mama ajikwamnue kiuchumi?
 
Bado haujasema, kituo cha afya nacho kina watu wenye taaluma sawa na wa KCMC kinachotofautisha ni hadhi ya sehemu husika na vifaa
 
Ushawahi kumpiga ngumi ya tumbo mwanao akiwa na miaka sita?
ndo wewe jiulize huyo mwl angeweza fanya hivyo kwa mtoto wa drs la kwanza ? hatua ya kupiga ngumi inakujaje kwa mtoto ambae hawez hata kukuzuia kumchapa ? TAARIFA NYINGINE NI UONGO ILA MNAENDESHWA NA UJINGA FULAN HV

VITU VINGINE HAUHITAJI USHABIKI WA KIJINGA NI AKILI NDOGO TU

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga mwingine huu. Kwa hiyo mtoto hakupigwa?
 
HESHIMU MAJIBU YA DAKATARI

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Majibu ya dakAtari mwenye D MBILI hayawezi kuheshimiwa.

Yamepimwa katika uzani na kuonekana ni majibu ya kanjanja yasiyo na uzito wowote wa kitabibu.

Huyo daktari akamatwe na anyang'anywe leseni yake kwa kosa la kuwa na vigezo duni vya kitaaluma na kudhihirisha ukanjanja mahala pa kazi.

Sijui ilikuwaje huyu mwizi wa vyeti akakoswa na rungu la Magufuli. I wonder my dear. 😹😹

Cc Lamomy
 
Poleni sana familia, ila Mwl naye motor wa miaka 7 anapigwaje hivyo?
 
Vipi kuhusu michirizi ya viboko mgongoni?
 
We ni mpumbavu, kwaku wa huna mtoto ndio maana huna uchungu hata kidogo. Utasa sio kosa lako dada, endelea kumuomba Mungu utabarikiwa na wewe, siku moja utakuwa na uchungu na matukio kama haya.
asee nina watoto zaid ya rika lako , UMESOMA KOTE HUJAONA MAJIBU YA DAKTARI YANASEMAJE ?

HILI NI TTZO LA WABONGO WENGI , HAMTUMII AKILI BALI MNATUMIA MIHEMKO

SOMA HUO MKASA NA UELEWE , HUYO MAMA ALIKWEPO KIPINDI MWANAE ANACHAPWA ? JE VAA VIATU VYA MWALIMU , UNAFIKIAJE HATUA YA KUMPIGA MTOTO WA DRS LA KWANZA NGUMI YAAN JENGA PICHA , KAMA HUEZ TAFUTA MTOTO WA DRS LA KWANZA HALAF JIULIZE WW UNGEWEZA KUMPIGA NGUMI MTOTO WA RIKA HILO KISA KACHELEWA SHULE ?

HUYO MAMA ANATAFUTA PA KULA TU , NA WANASIASA WATALIVAMIA HILI KUPATA UNAARUFU WA KISIASA TU ILA UKWEL HATA WAO WANAUJUWA NDIO MAANA DT.GWAJIMA HAKUTAKA HUSIKA MOJA KWA MOJA MARA YA KWANZA

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga ujinga tu na kupuuza mambo. Vaa viatu vya huyo mzazi halafu ujiulize kama iwapo ungeona ni sawa kutokusikia maelezo ya huyo mwalimu. UJINGA. We unaona ni sawa huyo mwalimu kutokuhojiwa?
 
Hapo kcmc wameruka kesi na kusingizia cancer, kwanini report yao inakinzana na hospital ya awali, waseme ukweli

Huu ni ukatili sana unampigaje mtoto wa darasa la kwanza ngumi

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona hapo juu wameeleza kuwa dalili za kansa ya damu ni pamoja na matatizo ya kwenye bandama

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu anasemaje? Maelezo yake kuhusu hizo tuhuma. Alimpiga mtoto hakumpiga? Kwanini alifichwa hata kabla mtoto hajafariki?
 
hahahaaa we jamaa kichwan mtupu kama mwijaku

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Sheria mkononi ihusike hapo.. wanakijiji vipi huko?
 
Huyo mwalimu wa field ana nini cha kumpooza huyo mama ajikwamnue kiuchumi?
ndo ujiulize huyo mama sasa hv anataka nini iwapo mwanae hatupo nae duniani ? na majibu ya daktari yanasema NI KANSA YA DAMU , je kwann haamini haya majibu ? tuanzie hapo ndo tuje kwenye ana nini cha kumpooza huyo mama

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…