Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Chukua kijiji kizima kikalete vurugu pale shule mpaka watakapo mtaja muhusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupindisha mjadala. Hizo ni mbinu za kitoto.yaaan humu kuna wajinga wengi ,
Huyo mwalimu wa field ana nini cha kumpooza huyo mama ajikwamnue kiuchumi?yaaan humu kuna wajinga wengi , ukisoma story ya huyo mtoto mpk mauti ni kama huyo mama anataka tumia mauti ya mwanae iwe mtaji wake kiuchumi , anampa presha mwl mkuu amuweke wazi mwl wa field ( hii ni kosa pia ) ili mwl wa field aje ampooze huyo mama , ila ukwel anaujuwa kuwa mwanae alikufa kwa KANSA YA DAMU na dalili alikuwa nazo .
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Makonda ni zaid ya mahakamaMakonda ndo mahakama anatoa haki? Mkuu jitafakari
Bado haujasema, kituo cha afya nacho kina watu wenye taaluma sawa na wa KCMC kinachotofautisha ni hadhi ya sehemu husika na vifaaumezoea ushabiki wa kijinga na hupend kusimama na ukwel , kiukwel nyiny mnafanya walimu wasifanye kaz yao kikamilif , mwaka 2016 walimu wa tarafa ya mlimba waligoma kutoa adhabu kwa watoto ila walikuwa wanaingia darasani wanafundisha na kutoka kwa mwaka huo mzm na matokeo ni Tarafa ya Mlimba iliifanya Wilaya ya kilombero kuwa wilaya za mwisho kbs ktk matokeo ya drs la 7 mwaka huo
HESHIMU MAJIBU YA DAKATARI , KCMC SIO KITUO CHA AFYA
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
ndo wewe jiulize huyo mwl angeweza fanya hivyo kwa mtoto wa drs la kwanza ? hatua ya kupiga ngumi inakujaje kwa mtoto ambae hawez hata kukuzuia kumchapa ? TAARIFA NYINGINE NI UONGO ILA MNAENDESHWA NA UJINGA FULAN HVUshawahi kumpiga ngumi ya tumbo mwanao akiwa na miaka sita?
Ujinga mwingine huu. Kwa hiyo mtoto hakupigwa?report ya daktari inasema kansa ya damu , je uunataka mwl ashikwe kwa kosa gan ? badala ya kushabikia ujinga bas jifunze kuwapeleka watoto wako shulen wakiwa wamepima afya zao , lasivyo utawabebesha wengine lawama za kwako
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Majibu ya dakAtari mwenye D MBILI hayawezi kuheshimiwa.
Vipi kuhusu michirizi ya viboko mgongoni?ndo wewe jiulize huyo mwl angeweza fanya hivyo kwa mtoto wa drs la kwanza ? hatua ya kupiga ngumi inakujaje kwa mtoto ambae hawez hata kukuzuia kumchapa ? TAARIFA NYINGINE NI UONGO ILA MNAENDESHWA NA UJINGA FULAN HV
VITU VINGINE HAUHITAJI USHABIKI WA KIJINGA NI AKILI NDOGO TU
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
asee nina watoto zaid ya rika lako , UMESOMA KOTE HUJAONA MAJIBU YA DAKTARI YANASEMAJE ?We ni mpumbavu, kwaku wa huna mtoto ndio maana huna uchungu hata kidogo. Utasa sio kosa lako dada, endelea kumuomba Mungu utabarikiwa na wewe, siku moja utakuwa na uchungu na matukio kama haya.
Ujinga ujinga tu na kupuuza mambo. Vaa viatu vya huyo mzazi halafu ujiulize kama iwapo ungeona ni sawa kutokusikia maelezo ya huyo mwalimu. UJINGA. We unaona ni sawa huyo mwalimu kutokuhojiwa?ndo wewe jiulize huyo mwl angeweza fanya hivyo kwa mtoto wa drs la kwanza ? hatua ya kupiga ngumi inakujaje kwa mtoto ambae hawez hata kukuzuia kumchapa ? TAARIFA NYINGINE NI UONGO ILA MNAENDESHWA NA UJINGA FULAN HV
VITU VINGINE HAUHITAJI USHABIKI WA KIJINGA NI AKILI NDOGO TU
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
mbona hapo juu wameeleza kuwa dalili za kansa ya damu ni pamoja na matatizo ya kwenye bandamaHapo kcmc wameruka kesi na kusingizia cancer, kwanini report yao inakinzana na hospital ya awali, waseme ukweli
Huu ni ukatili sana unampigaje mtoto wa darasa la kwanza ngumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu anasemaje? Maelezo yake kuhusu hizo tuhuma. Alimpiga mtoto hakumpiga? Kwanini alifichwa hata kabla mtoto hajafariki?asee nina watoto zaid ya rika lako , UMESOMA KOTE HUJAONA MAJIBU YA DAKTARI YANASEMAJE ?
HILI NI TTZO LA WABONGO WENGI , HAMTUMII AKILI BALI MNATUMIA MIHEMKO
SOMA HUO MKASA NA UELEWE , HUYO MAMA ALIKWEPO KIPINDI MWANAE ANACHAPWA ? JE VAA VIATU VYA MWALIMU , UNAFIKIAJE HATUA YA KUMPIGA MTOTO WA DRS LA KWANZA NGUMI YAAN JENGA PICHA , KAMA HUEZ TAFUTA MTOTO WA DRS LA KWANZA HALAF JIULIZE WW UNGEWEZA KUMPIGA NGUMI MTOTO WA RIKA HILO KISA KACHELEWA SHULE ?
HUYO MAMA ANATAFUTA PA KULA TU , NA WANASIASA WATALIVAMIA HILI KUPATA UNAARUFU WA KISIASA TU ILA UKWEL HATA WAO WANAUJUWA NDIO MAANA DT.GWAJIMA HAKUTAKA HUSIKA MOJA KWA MOJA MARA YA KWANZA
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
hahahaaa we jamaa kichwan mtupu kama mwijakuAcha kupindisha mjadala. Hizo ni mbinu za kitoto.
Mwalimu lazima achukuliwe hatua, sambamba na kumuwajibisha daktari mbumbumbu mwenye D MBILI asiyeweza kufanya uchunguzi wa kitabibu!
Na mkurugenzi pia atawajibika kwa kuunga mkono mauaji na ukanjanja wa daktari mwenye D MBILI!
Sheria mkononi ihusike hapo.. wanakijiji vipi huko?
Naitwa Janeth Shayo, mkazi wa Uru, Moshi. Naomba unisaidie kupaza sauti mwanangu Jonathan Makanyaga (07) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi Mrupanga, ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inataka kupindishwa.
Tar.28/02/2024 mwanangu alienda shuleni akiwa mzima. Alipofika aliadhibiwa kwa kuchelewa "namba". Alipoingia darasani alianza kutokwa damu puani na mdomoni. Akarudishwa nyumbani. Nilipomkagua nikamkuta na majeraha yaliyovilia damu mgongoni, kwenye mbavu na mguuni.
Kesho yake nikaenda nae shuleni kutaka kuoneshwa mwalimu aliyemfanyia ukatili mwanangu. Lakini Mwalimu mkuu akaomba nibaki nje. Akaingia na mwanangu ofisi ya walimu na kumtaka amtambue Mwalimu aliyemuadhibu. Mwanangu akamtanbua. Mwalimu Mkuu akaniambia wameshamfahamu ni mwalimu wa "Field" hivyo atazungumza nae.
Wakanipa 20,000/= za matibabu. Nikampeleka mwanangu zahanati. Kesho yake akazidi kutoka damu, na kulalamikia maumivu sehemu za mbavu. Nikampeleka hospitali ya masista. Daktari akaniambia bandama imejeruhika ndio sababu ya kutoka damu mdomoni. Mtoto alidai pamoja na viboko alivyochapwa, Mwalimu pia alimpiga ngumi tumboni. Huenda ndiyo iliyopasua bandama.
Hali yake ilizidi kuwa mbaya tukapewa rufaa kwenda KCMC. Akatakiwa kufanyiwa upasuaji. Gharama 350,000/= lakini sikuwa nayo. Nikapiga simu shuleni wakasema tuombe afanyiwe halafu watalipa baadae. Hata hivyo kabla hajafanyiwa hali yake ikazidi kuzorota, akashindwa kupumua, akawekwa kwenye Oxygen. Akashindwa kula, akawekewa mpira wa chakula. Baada ya siku chache akafariki 😭.
Lakini ripoti ya hospitali inasema mwanangu amekufa kwa kansa ya damu. Kansa gani ya damu inayomuua mtoto kwa wiki mbili? Na kwanini hiyo kansa itokee baada ya kuadhibiwa shuleni? Kwanini Mwalimu aliyemuadhibu mwanangu anafichwa, na sipewi haki ya kumfahamu?
Nalazimishwa nichukue maiti nikazike lakini nimekataa. Nataka uchunguzi huru. Nimeenda dawati la jinsia kulalamika nikapuuzwa. Nimepiga simu kwa Waziri Dkt. Gwajima D akanipa namba ya mtu wa kunisaidia. Nilipopiga kumbe ni yuleyule Mkuu wa dawati la jinsia aliyenipuuza. Nikamrudia Gwajima akasema niwasiliane nae huyohuyo. Nimekosa pa kulilia haki ya mwanangu Jonathan
ndo ujiulize huyo mama sasa hv anataka nini iwapo mwanae hatupo nae duniani ? na majibu ya daktari yanasema NI KANSA YA DAMU , je kwann haamini haya majibu ? tuanzie hapo ndo tuje kwenye ana nini cha kumpooza huyo mamaHuyo mwalimu wa field ana nini cha kumpooza huyo mama ajikwamnue kiuchumi?