DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
mm nliwai kuwa mwl nmekutana na hilo , hawa watz wengi wanaendeshw na.mihemko tu

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
sasa unatetea nini hapa ? kama husimami na maneno ya huyo mama ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Ndo maana nakuambia una mihemko. Aliyekuambia tunapohoji kuhusu upatikanaji wako ujibu tuhuma zako za mauaji kama ulimpiga mtoto au la inamaanisha tumeshahitimisha kuwa mama hadanganyi ni nani? Tunataka useme, ulimpiga mtoto? Kwa kiwango gani? Kama umeonewa tutajua kupitia maelezo yako. Sasa kwanini unajificha?
 
akili zako ndogo sana hujaelwa hata hilo swali dogo

WAPIME WATOTO WAKO AFYA ZAO NA UNAPOWAKABIDHI MASHULENI WAPE NA NOTISI KABISA WAJUE NAMN YA KUMMARK ILI WAJUE KWA AFYA YAKE WAMPE ADHABU GANI

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
MAELEZO NI MUHIMU. HUYO MWALIMU ALIYEMCHAPA HAKUFICHWA, ALITOKEA NA KUJIELEZA KUWA AMEMTANDIKA VIBOKO VIWILI.
kwamba huyo mwl alifichwa ? si aliingia na mtoto staff na kumgundua mwalimu aliyemchapa ? je ulitaka nae nje aanze kumfokea mbele ya mzazi ? vaa viatu vya mwl unafokewa mbele ya mzaz

NINA MASHAKA NA IQ YAKO

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 

Polisi wanasheria yao, ukimdunda mtu ni lazma siku 99 zipite bila huyo mtu kudhurika ikiwepo kifo ndiyo mpigaji hatashtakiwa.

Lakn ikiwa ndani ya hicho kipindi cha kipigo, lazma mpigaji awekwe ndani ya mikono salama hadi serikali ijiridhishe kuwa umauti wa victim hauna uhusiano wowote na kifo.
 
soma bandiko majibu ni yale tangu hatua za awali , je huyo mwl ela zote hizo anashindwa kumzima huyu mama kwa ela kdg ? au unahisi huyu mama sasa hv anatafuta haki gani ? kuzurura kote huku

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hilo ni muhimu uchunguzi ndio kilakitu maelezo ya kupigwa ngumi yanaleta utata
 
angalau ww umeifungua akili kujenga picha ya mtoto na swala la ngumi

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
hahahaaa hv una akili kwel ? mimi ni msamalia mwema tu nawaonesha mado kwenye hiyo taarifa , ushanipa kesi ya kuua tena

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu vijana wanaoenda kufanya field mashuleni wengi wao ni wadogo sana kiumri tofauti na miaka ya nyuma, japo haimaanishi ni halali kwa hilo tukio ila kiukweli wahitimu wengi wa ualimu elimu hawajakomaa kiumri, kimaadili na hata kiutendaji kazi
Hata Mahakamani siku hizi kuna vitoto vingi,na ukiviangalia wala havijui kwa nini viko pale!!
 
je mama alipeleka taarifa polisi ? pia report ya madaktari inahusaninsha kifo na adhabu ya mwalimu ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hizo dalili zimejitokeza baada ya kipigo lakin.
kwan dalili za magonjwa zina muda maalumu ?

NLIWAI KUTANA NA MAMA MMOJA ALIKUWA ANAINGIA KWENYE KESI INAITWA PRESBYOPIA ( mabadiliko ya ukuaji kuanzia miaka 40yrs unaanza poteza ufanisi kwenye kusoma maandishi madogo mpk uwepo mwanga wa kutosha au urudishe nyuma kidg ) kisha akapata ajali na nlipo kuja kumuona akawa anaamini ajali ndo imemsababishia lile ttzo though jicho halikuathiriwa vyoyvyote na hiyo ajali il psychology ndo ilikuwa imekuwa distorted na ajali , ILA ALIBISHA MPK NAMRUHUSU AENDE

DALILI ZA MATATIZO HAZIMA , HUO NI MFANO TU



Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hivi inaingia akilini mtoto wa miaka saba kupigwa eti amechelewa shule? Hivi kwa umri huo yeye ndiye anapaswa kujua saa ya kuamka, kujitarisha na kwenda shule? Huoni huyo mwalimu ni mshenzi wa mwisho? Kwa nini asiwasiliane na wazazi kuhusu kuchelewa? Mambo mengine ni kujitakia na siwezi kumuonea huruma.
 
DED anahojiwa anakuambia amefuatilia mpaka shuleni kabisa amejiridhisha bila shaka mtoto amefariki kwasababu ya cancer aisee!!
Record kutoka hospital ya mtoto kua na cancer ipo au hiyo cancer imekuja one onekana baada ya kifo cha mtoto!? Upelelezi uanzia hapo, ukiwahusisha na team ya wataalamu wa afya hadi wale wa forensic!!
 
mbon kama umeamini maneno ya mama bia ushahidi ? na mm kesho nkijisema yangu tu juu ya walimu utaamini pia , walimu mnawapa presha sana , ndio maana wanatoa maboko sana siku hz sabab hawana waranty na kaz yao , mtoto kapigana anajich kesho anamsingizia mwl

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…