DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tukio linasikitisha sana lakn naomba nichangie kwenye hili Kuna Mwalimu alikuwa na kesi polis last wiki alipiga mtoto viboko viwili mkono ukavimba,kesi Ilikuwa kubwa madaktari wakasema pia kachapwa alama inaonekana kwenye mkono ni fimbo wakat kesi inaendelea mkono nao unazid kuvimba na kujaa mwisho ukaanza kutoa magamba na kunywea kuchunguza kumbe aling'atwa na mdudu maskini na kumbana vizuri akasema alianza kuumwa mkono sikumoja kabla ya kuchapwa
Sisemi Ni tukio zuri lakini Kuna namna maelekezo yazingatie pande zote mbili
mm nliwai kuwa mwl nmekutana na hilo , hawa watz wengi wanaendeshw na.mihemko tu

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
sasa unatetea nini hapa ? kama husimami na maneno ya huyo mama ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Ndo maana nakuambia una mihemko. Aliyekuambia tunapohoji kuhusu upatikanaji wako ujibu tuhuma zako za mauaji kama ulimpiga mtoto au la inamaanisha tumeshahitimisha kuwa mama hadanganyi ni nani? Tunataka useme, ulimpiga mtoto? Kwa kiwango gani? Kama umeonewa tutajua kupitia maelezo yako. Sasa kwanini unajificha?
 
Una mihemko. Sasa ukiwa hujui ukampa adhabu mtoto akapata tatizo ndo unapata uhalali wa kufichwa na kutojieleza? Uhalali wa kutokuhojiwa? Uhalali wa kutokusema ni nini kilitokea na iwapo kama adhabu uliyotoa ni stahili au la? Mzazi alipokuja shule ulimueleza kuwa mtoto ulimuadhibu kwa kiwango gani? Au sababu anaumwa basi unapata kichaka?
akili zako ndogo sana hujaelwa hata hilo swali dogo

WAPIME WATOTO WAKO AFYA ZAO NA UNAPOWAKABIDHI MASHULENI WAPE NA NOTISI KABISA WAJUE NAMN YA KUMMARK ILI WAJUE KWA AFYA YAKE WAMPE ADHABU GANI

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
MAELEZO NI MUHIMU. HUYO MWALIMU ALIYEMCHAPA HAKUFICHWA, ALITOKEA NA KUJIELEZA KUWA AMEMTANDIKA VIBOKO VIWILI.
kwamba huyo mwl alifichwa ? si aliingia na mtoto staff na kumgundua mwalimu aliyemchapa ? je ulitaka nae nje aanze kumfokea mbele ya mzazi ? vaa viatu vya mwl unafokewa mbele ya mzaz

NINA MASHAKA NA IQ YAKO

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
mnapoelimishwa mpende kuelemika , KCMC wajibu nini wakat walitoa majibu na majibu yao yanafanana na majibu ya hatua ya kwanza , ukisoma bandiko hilo lipo wazi kabisa na hilo bandiko ni kwa mujibu wa huyo mama na sio mwl , kinachowachanganya wengi ni BANDAMA KUHARIBIKA ILA SIDHAN KAMA UNAJUWA HATA BANDAMA INAPATIKANA WAPI MWILINI UHUSIANO WA FIMBO NA BANDAMA , PIA UHUSIANO WA NGUMI NA BANDAMA

WAJINGA KAMA WW MPO WENGI SANA , MNAPINGANA NA TAARIFA ZA VIPIMO MNAENDA AMINI MANENO YA MDOMONI

KWENYE SIMULIZI YOTE INAONESHA KABISA MWL ALIISHIA KUMPA ELF 20 na Sidhani kama mwl alijuwa lolote linaloendelea , je kwann hospitali zote hawajatoa taarifa ya uhusiano wa ngumi na matatizo aliyokuwa nayo mtoto na badala yake wakasema mtoto ana kansa ya damu

HII INFERIORITY INAWASUMBUA SANA , UNAFIKIA HATUA UNAMTISHA MTU AWAACHE MUENDELEE KUWATIA HOFU WALIMU ILI WASHINDWE KUTIMIZA WAJIBU WAO WA KITAIFA , KWA AKILI HIZO MIAKA KADHAA MBELE TUTAKUWA NA KIZAZI GANI KAMA WAELIMISHAJ WATAAMUA KUIFANYA KAMA SEHEM YA KIPATO NA SIO UJENZI WA TAIFA LE KESHO

MUDA MWINGINE MJUE NA ATHARI ZA MAMBO MNAYOYASHABIKIA

HII MIKASA INAPENDWA NA WANASIASA NA MTAONA HUYO KIJANA ATHARIBIWA MAISHA YAKE NA ATAKUWA KAFARA YA MWAASIASA X KUPATA UMAARUFU WKT ILIKUWA JAMBO LA KUWASISITIZIA MUPIME WATOTO ZENU AFYA KABLA YA KUWAPELEKA MASHULENI

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app

Polisi wanasheria yao, ukimdunda mtu ni lazma siku 99 zipite bila huyo mtu kudhurika ikiwepo kifo ndiyo mpigaji hatashtakiwa.

Lakn ikiwa ndani ya hicho kipindi cha kipigo, lazma mpigaji awekwe ndani ya mikono salama hadi serikali ijiridhishe kuwa umauti wa victim hauna uhusiano wowote na kifo.
 
Nao ni binadamu,na ukumbuke nao mishahara haiwatoshi,
kumbuka,hapa kesi kubwa ni mtoto kupigwa kupita kiasi.

Ndo maana ni muhimu sana kujiepusha kupigana.maana hatujui afya za watu.
Unawezapata kesi ya kuua kumbe umemmalizia marehemu alishakufa.

Kosa la huyu mwalimu ni kumpiga mtoto mangumi.
Subiri huyo mama apate channel ndo utaelewa
kama majibu ya daktari yanabishiwa au la.
soma bandiko majibu ni yale tangu hatua za awali , je huyo mwl ela zote hizo anashindwa kumzima huyu mama kwa ela kdg ? au unahisi huyu mama sasa hv anatafuta haki gani ? kuzurura kote huku

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana ndg mzazi... nawaza aina ya haki unayoitaka inaendaj kuziba hili pengo la mtoto wetu.
Nawaza tena ni namna gani huyu mwalimu aliona fimbo haimtoshi mtot wa drs la 1 hadi akamshindilia mangumi ya mbavu.
Mtot wa daras la1 ni kati ya umri wa miaka mi5,6 au 7. Mwalimu hata kama ni WA field kwel akunje ngumi amtandike nazo huyu kiumbe?
Uchunguzi ufanyike walau huu utata ututoke
Hilo ni muhimu uchunguzi ndio kilakitu maelezo ya kupigwa ngumi yanaleta utata
 
Pole sana ndg mzazi... nawaza aina ya haki unayoitaka inaendaj kuziba hili pengo la mtoto wetu.
Nawaza tena ni namna gani huyu mwalimu aliona fimbo haimtoshi mtot wa drs la 1 hadi akamshindilia mangumi ya mbavu.
Mtot wa daras la1 ni kati ya umri wa miaka mi5,6 au 7. Mwalimu hata kama ni WA field kwel akunje ngumi amtandike nazo huyu kiumbe?
Uchunguzi ufanyike walau huu utata ututoke
angalau ww umeifungua akili kujenga picha ya mtoto na swala la ngumi

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana nakuambia una mihemko. Aliyekuambia tunapohoji kuhusu upatikanaji wako ujibu tuhuma zako za mauaji kama ulimpiga mtoto au la inamaanisha tumeshahitimisha kuwa mama hadanganyi ni nani? Tunataka useme, ulimpiga mtoto? Kwa kiwango gani? Kama umeonewa tutajua kupitia maelezo yako. Sasa kwanini unajificha?
hahahaaa hv una akili kwel ? mimi ni msamalia mwema tu nawaonesha mado kwenye hiyo taarifa , ushanipa kesi ya kuua tena

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu vijana wanaoenda kufanya field mashuleni wengi wao ni wadogo sana kiumri tofauti na miaka ya nyuma, japo haimaanishi ni halali kwa hilo tukio ila kiukweli wahitimu wengi wa ualimu elimu hawajakomaa kiumri, kimaadili na hata kiutendaji kazi
Hata Mahakamani siku hizi kuna vitoto vingi,na ukiviangalia wala havijui kwa nini viko pale!!
 
Polisi wanasheria yao, ukimdunda mtu ni lazma siku 99 zipite bila huyo mtu kudhurika ikiwepo kifo ndiyo mpigaji hatashtakiwa.

Lakn ikiwa ndani ya hicho kipindi cha kipigo, lazma mpigaji awekwe ndani ya mikono salama hadi serikali ijiridhishe kuwa umauti wa victim hauna uhusiano wowote na kifo.
je mama alipeleka taarifa polisi ? pia report ya madaktari inahusaninsha kifo na adhabu ya mwalimu ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hizo dalili zimejitokeza baada ya kipigo lakin.
kwan dalili za magonjwa zina muda maalumu ?

NLIWAI KUTANA NA MAMA MMOJA ALIKUWA ANAINGIA KWENYE KESI INAITWA PRESBYOPIA ( mabadiliko ya ukuaji kuanzia miaka 40yrs unaanza poteza ufanisi kwenye kusoma maandishi madogo mpk uwepo mwanga wa kutosha au urudishe nyuma kidg ) kisha akapata ajali na nlipo kuja kumuona akawa anaamini ajali ndo imemsababishia lile ttzo though jicho halikuathiriwa vyoyvyote na hiyo ajali il psychology ndo ilikuwa imekuwa distorted na ajali , ILA ALIBISHA MPK NAMRUHUSU AENDE

DALILI ZA MATATIZO HAZIMA , HUO NI MFANO TU

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana kwa msiba mkubwa kama huu mungu akujalie subila kwenye kipindi kigumu kama hiki

Maswali machache ambayo bado yanazunguka kichwani kwangu muda huu
1. Report ya daktari inatoa mawazo mapya ambayo kimsingi mtoto kafariki kwa kansa ya damu ( leukemia) au mtoto aikua na hemophilia Ndio maana damu ikaendelea kutoka mpaka kuperekea kifo na sio mpasuko wa bandama au any vital organs

2. Maelezo ya mtoto wa huo umri mdogo kupigwa ngumi na MWALIMU Tena Kwa kosa la kuchelewa namba haiingi akili

3. Kutoa report kituo chochote cha polisi ambacho kipo karibu bado inaleta mkanganyiko

4. Ni kwa nini dawati ambalo linashughulikia hii kesi limetupilia mbali hii kesi from being?

Kuna muda tusiukumu kwa hisia TU kwamba MWALIMU Ndio kasababisha kifo inawezekana mtoto alikua diagnosed with leukemia au hemophilia ila MWALIMU amejikuta katikati na jumba bovu limemuangukia
Hivi inaingia akilini mtoto wa miaka saba kupigwa eti amechelewa shule? Hivi kwa umri huo yeye ndiye anapaswa kujua saa ya kuamka, kujitarisha na kwenda shule? Huoni huyo mwalimu ni mshenzi wa mwisho? Kwa nini asiwasiliane na wazazi kuhusu kuchelewa? Mambo mengine ni kujitakia na siwezi kumuonea huruma.
 
DED anahojiwa anakuambia amefuatilia mpaka shuleni kabisa amejiridhisha bila shaka mtoto amefariki kwasababu ya cancer aisee!!
Record kutoka hospital ya mtoto kua na cancer ipo au hiyo cancer imekuja one onekana baada ya kifo cha mtoto!? Upelelezi uanzia hapo, ukiwahusisha na team ya wataalamu wa afya hadi wale wa forensic!!
 
Hivi inaingia akilini mtoto wa miaka saba kupigwa eti amechelewa shule? Hivi kwa umri huo yeye ndiye anapaswa kujua saa ya kuamka, kujitarisha na kwenda shule? Huoni huyo mwalimu ni mshenzi wa mwisho? Kwa nini asiwasiliane na wazazi kuhusu kuchelewa? Mambo mengine ni kujitakia na siwezi kumuonea huruma.
mbon kama umeamini maneno ya mama bia ushahidi ? na mm kesho nkijisema yangu tu juu ya walimu utaamini pia , walimu mnawapa presha sana , ndio maana wanatoa maboko sana siku hz sabab hawana waranty na kaz yao , mtoto kapigana anajich kesho anamsingizia mwl

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom