DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hiki kifo kinahitaji uchunguzi huru. Hata hiyo hospital aliyotibiwa mpaka kufariki haiwezi kutoa majibu sahihi kwa sababu inaonekana walizembea kumpa matibabu haraka kwa sababu ya kudai fedha. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa mtoto alifariki kwa sababu ya kukosa huduma ya haraka, hivyo madaktari wanataka wasionekane kuwa walifanya uzembe.
 
Record kutoka hospital ya mtoto kua na cancer ipo au hiyo cancer imekuja one onekana baada ya kifo cha mtoto!? Upelelezi uanzia hapo, ukiwahusisha na team ya wataalamu wa afya hadi wale wa forensic!!
utajulikanaje una CANCER kama huna utaratibu ea kupima ?

walimu mnawapa presha sana , n inaonekana hamjui athari za mnayoyafanya

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Naamini kwa sababu shule za Tanzania waalim kuchapa/kupiga wanafunzi siyo jambo geni. Huu umekuwa kama utamaduni na waalim wanakuwa na visirani sana. Knachotakiwa kufanywa hapa ni postmortem ya uhakika. Ifanywe na dr wasiofungamana na hiyo hospital aliyotibiwa kwa sababu inaonekana kuwa walizembea kwa kuchelewa kumtibu ndiyo akafariki.
 
Poleni sana kwa msiba. Lakini kifo heshima ya yake ni mazishi. Imetokea zika. Kingine walimu ni vichaa sana walimu wengi shule za msingi za serikali ni walevi na wanavuta bangi na utoto. Ndio hao wakiwa wanakunywa chai wanaongea ujinga ujinga wa kuchapa watoto. Haki ya maiti ni maziko tu mengine ni usumbufu
 
Wakiendelea kukuzungua nenda Upareni kwa jirani zako hapo kawapasulie Chungu


Waambie kabisa kama kweli mwanangu hajafa sababu ya kuadhibiwa na mwalimu mimi nakwenda kulilia mababu nitavunja chungu kama hamkuhusika basi hakitawapata ila kama mmhusika sisitaka kikao


Ndo dawa
 
Mkuu vitoto vya siku hizi ni vidogo sana fimbo ya mgongo unaweza vunja mbavu
 
Polee sana dada!!!! Mungu akufanyie wepesi.....
 
mna ushahidi sio mnabeba maneno ya mama aliyechanganywa na msiba anatafuta pa kutulizia akili zake

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Tulisoma kwenye hayo mashule tunajua nini ni nini ...tunajua mtoto.mdogo anaweza kuchapwa kisa hana viatu je swala la viatu ni kosa la mtoto ? Mtoto kuchapwa kisa uniform zimechaka je ni kosa la mtoto ...walimu ni wapumbavu haswa
 
Record kutoka hospital ya mtoto kua na cancer ipo au hiyo cancer imekuja one onekana baada ya kifo cha mtoto!? Upelelezi uanzia hapo, ukiwahusisha na team ya wataalamu wa afya hadi wale wa forensic!!
Dalili za cancer zimejitokeza baada ya kipigo.
 
siipend ccmu ila ktk hili HESHIMU MAJIBU YA DAKTARI

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Swali je ukimkuta mtu yupo maututi ukampiga ngumi akafa ina maana hauja ua ? Kwa sababu huyo mtu alikuwa mgonjwa ? Hiyo inaitwa kummalizia ....mfano mtoto ana ugonjwa wa pumu wewe ukampa mfuko wa simenti abebe kwa lazima akifa kwa kubanwa na pumu wewe unausika au hauhusiki
 
Ukakasi ni mkubwa kwanza kwa psychology haiingi MWALIMU kumchapa mtoto wa chekechea drs la 1&2 tena Kwa kosa la kuchelewa namba mm ntakua mtu wa mwisho kuamini hili

Pili kumpiga ngumi achilia mbali fimbo ambayo kiuharisia haifai kutumika kwa hayo madarasa kwa sababu Ndio anaanza kupenda shule fimbo itamfanya achukie shule Ndio maana Kama ni mfuatiliaji wa makuzi ya mtoto madarasa haya sehemu kubwa ya masomo yao ni kucheza

Hii kesi inamkanganyiko mwingi zaidi ya unavyo fikia Ndio maana from beginning dawati ambalo linashughulikia hii kesi limetupilia mbali hii shauri kuna some sort of ukweli umekosekana kwenye maelezo
 
Wizo siku hizo unatoa maagizo kwa waziri umetisha 🀣🀣🀣🀣
 
kwahiyo ulitaka kansa isubir siku mbili tatu zipite ili isionekane ni mwl ? ndo hoja yako hii ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app

kwahiyo ulitaka kansa isubir siku mbili tatu zipite ili isionekane ni mwl ? ndo hoja yako hii ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Mtoto alikuwa mzima hadi alipopata adhabu,baada ya kupata adhabu ya kuchapwa/na kupigwa na kupoteza maisha ndo inasemekana ni cancer,hapa ndo nashindwa kuelewa
 
Waziri wa elimu sijui anatumia ID gani JF ambae linamuhusu zaidi.

IΕ‚a mwingine mwenye hiyo dhamana ya ulinzi wa watoto Dorothy Gwajima yumo humu. Ungemtag asome.

Ukatili Tanzania auwezi kupungua kwa sababu zifuatazo sio kipaumbele cha serikali kuu, social services, polisi, vyombo vya sheria, national media outlets na jamii.

Haya mambo huko walikofanikiwa kupunguza (hakuna anaeweza ya maliza), ni kupitia kuwaweke jamii uoga yaani mtoto wa mtu wa mwingine ni kama sumu usijaribu.

Hayo mafanikio yanataka consistent ya kutoa adhabu tena kali (hiko ndio kigezo cha kuwatisha hasara iliyombele yao wakijaribu), national media coverage ya mara kwa mara linapotokea swala kama hilo sio kwenda kwenye online TV inatakiwa kuwa big news TBC, Azam, ITV, Star TV marudio ya mikwara iliyopigwa na mawaziri, polisi wakielezea watakavyomtupa lupango, sijui kapelekwa mahakamani ndugu wamezuiwa kumkaba baada ya mtuhumiwa kufungwa miaka 30 jela, life au kunyongwa. NGO inalaani walimu kupiga watoto wa watu, huku social service wanachunguza shule utaratibu wao wa kuadhibu watoto; na mambo kede kede.

Kwanza ni consistency ya adhabu, pili ni national propaganda; bila ya hayo mambo uwezi punguza mambo ya ukatili kwenye.

Pole kwa mfiwa, mwenyemezi mungu amlaze mahala pema peponi na haki ipatikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…