Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Pole sana dada yangu ðŸ˜ðŸ˜ Hawa inafaa nao wapewe adhabu ya kifo una muua mtoto wa miaka 7 ðŸ˜ðŸ˜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kifo kinahitaji uchunguzi huru. Hata hiyo hospital aliyotibiwa mpaka kufariki haiwezi kutoa majibu sahihi kwa sababu inaonekana walizembea kumpa matibabu haraka kwa sababu ya kudai fedha. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa mtoto alifariki kwa sababu ya kukosa huduma ya haraka, hivyo madaktari wanataka wasionekane kuwa walifanya uzembe.kwan dalili za magonjwa zina muda maalumu ?
NLIWAI KUTANA NA MAMA MMOJA ALIKUWA ANAINGIA KWENYE KESI INAITWA PRESBYOPIA ( mabadiliko ya ukuaji kuanzia miaka 40yrs unaanza poteza ufanisi kwenye kusoma maandishi madogo mpk uwepo mwanga wa kutosha au urudishe nyuma kidg ) kisha akapata ajali na nlipo kuja kumuona akawa anaamini ajali ndo imemsababishia lile ttzo though jicho halikuathiriwa vyoyvyote na hiyo ajali il psychology ndo ilikuwa imekuwa distorted na ajali , ILA ALIBISHA MPK NAMRUHUSU AENDE
DALILI ZA MATATIZO HAZIMA , HUO NI MFANO TU
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
utajulikanaje una CANCER kama huna utaratibu ea kupima ?Record kutoka hospital ya mtoto kua na cancer ipo au hiyo cancer imekuja one onekana baada ya kifo cha mtoto!? Upelelezi uanzia hapo, ukiwahusisha na team ya wataalamu wa afya hadi wale wa forensic!!
Naamini kwa sababu shule za Tanzania waalim kuchapa/kupiga wanafunzi siyo jambo geni. Huu umekuwa kama utamaduni na waalim wanakuwa na visirani sana. Knachotakiwa kufanywa hapa ni postmortem ya uhakika. Ifanywe na dr wasiofungamana na hiyo hospital aliyotibiwa kwa sababu inaonekana kuwa walizembea kwa kuchelewa kumtibu ndiyo akafariki.mbon kama umeamini maneno ya mama bia ushahidi ? na mm kesho nkijisema yangu tu juu ya walimu utaamini pia , walimu mnawapa presha sana , ndio maana wanatoa maboko sana siku hz sabab hawana waranty na kaz yao , mtoto kapigana anajich kesho anamsingizia mwl
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Watu huwa hawashtaki mahakamani, huenda polisi kisha polisi hufanya michakato ya kufikisha suala hilo ngazi ya mahakama.Nenda mahakaman kashitaki Halaf kwanin hukwenda kumuona huyo mwalim??
hiyo siku ilitakiwa kiwake umkamate umpeleke police mambo yaanze ,unaombwa 20000 sijui ngapi
Mkuu vitoto vya siku hizi ni vidogo sana fimbo ya mgongo unaweza vunja mbavuKama ripoti ya Daktari inaonesha mwanao alikuwa na Kansa ya Damu ( dalili zote unazoelezea zinaendana) kwanini unalazimisha ionekane Mwalimu ndio kamuua mwanao?
Kuchapwa viboko kungekuwa kunaua tungeshakufa wengi sana tuliosoma zamani. Mnataka kutengeneza kizazi gani cha watoto wasiochapwa?
Kwanini mnataka kuleta malezi ya Kizungu watoto wa Kitanzania wenye mazingira na tamaduni tofauti katika malezi na makuzi?
All in all may His Soul Rest in Eternal Peace. Amen. Kuendeleza hii kesi ni kumkosea Marehemu kwa kulazimisha kitu kisichokuwepo.
Polee sana dada!!!! Mungu akufanyie wepesi.....
Naitwa Janeth Shayo, mkazi wa Uru, Moshi. Naomba unisaidie kupaza sauti mwanangu Jonathan Makanyaga (07) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi Mrupanga, ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inataka kupindishwa.
Tar.28/02/2024 mwanangu alienda shuleni akiwa mzima. Alipofika aliadhibiwa kwa kuchelewa "namba". Alipoingia darasani alianza kutokwa damu puani na mdomoni. Akarudishwa nyumbani. Nilipomkagua nikamkuta na majeraha yaliyovilia damu mgongoni, kwenye mbavu na mguuni.
Kesho yake nikaenda nae shuleni kutaka kuoneshwa mwalimu aliyemfanyia ukatili mwanangu. Lakini Mwalimu mkuu akaomba nibaki nje. Akaingia na mwanangu ofisi ya walimu na kumtaka amtambue Mwalimu aliyemuadhibu. Mwanangu akamtanbua. Mwalimu Mkuu akaniambia wameshamfahamu ni mwalimu wa "Field" hivyo atazungumza nae.
Wakanipa 20,000/= za matibabu. Nikampeleka mwanangu zahanati. Kesho yake akazidi kutoka damu, na kulalamikia maumivu sehemu za mbavu. Nikampeleka hospitali ya masista. Daktari akaniambia bandama imejeruhika ndio sababu ya kutoka damu mdomoni. Mtoto alidai pamoja na viboko alivyochapwa, Mwalimu pia alimpiga ngumi tumboni. Huenda ndiyo iliyopasua bandama.
Hali yake ilizidi kuwa mbaya tukapewa rufaa kwenda KCMC. Akatakiwa kufanyiwa upasuaji. Gharama 350,000/= lakini sikuwa nayo. Nikapiga simu shuleni wakasema tuombe afanyiwe halafu watalipa baadae. Hata hivyo kabla hajafanyiwa hali yake ikazidi kuzorota, akashindwa kupumua, akawekwa kwenye Oxygen. Akashindwa kula, akawekewa mpira wa chakula. Baada ya siku chache akafariki ðŸ˜.
Lakini ripoti ya hospitali inasema mwanangu amekufa kwa kansa ya damu. Kansa gani ya damu inayomuua mtoto kwa wiki mbili? Na kwanini hiyo kansa itokee baada ya kuadhibiwa shuleni? Kwanini Mwalimu aliyemuadhibu mwanangu anafichwa, na sipewi haki ya kumfahamu?
Nalazimishwa nichukue maiti nikazike lakini nimekataa. Nataka uchunguzi huru. Nimeenda dawati la jinsia kulalamika nikapuuzwa. Nimepiga simu kwa Waziri Dkt. Gwajima D akanipa namba ya mtu wa kunisaidia. Nilipopiga kumbe ni yuleyule Mkuu wa dawati la jinsia aliyenipuuza. Nikamrudia Gwajima akasema niwasiliane nae huyohuyo. Nimekosa pa kulilia haki ya mwanangu Jonathan
Tulisoma kwenye hayo mashule tunajua nini ni nini ...tunajua mtoto.mdogo anaweza kuchapwa kisa hana viatu je swala la viatu ni kosa la mtoto ? Mtoto kuchapwa kisa uniform zimechaka je ni kosa la mtoto ...walimu ni wapumbavu haswamna ushahidi sio mnabeba maneno ya mama aliyechanganywa na msiba anatafuta pa kutulizia akili zake
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Dalili za cancer zimejitokeza baada ya kipigo.Record kutoka hospital ya mtoto kua na cancer ipo au hiyo cancer imekuja one onekana baada ya kifo cha mtoto!? Upelelezi uanzia hapo, ukiwahusisha na team ya wataalamu wa afya hadi wale wa forensic!!
Swali je ukimkuta mtu yupo maututi ukampiga ngumi akafa ina maana hauja ua ? Kwa sababu huyo mtu alikuwa mgonjwa ? Hiyo inaitwa kummalizia ....mfano mtoto ana ugonjwa wa pumu wewe ukampa mfuko wa simenti abebe kwa lazima akifa kwa kubanwa na pumu wewe unausika au hauhusikisiipend ccmu ila ktk hili HESHIMU MAJIBU YA DAKTARI
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Ukakasi ni mkubwa kwanza kwa psychology haiingi MWALIMU kumchapa mtoto wa chekechea drs la 1&2 tena Kwa kosa la kuchelewa namba mm ntakua mtu wa mwisho kuamini hiliHivi inaingia akilini mtoto wa miaka saba kupigwa eti amechelewa shule? Hivi kwa umri huo yeye ndiye anapaswa kujua saa ya kuamka, kujitarisha na kwenda shule? Huoni huyo mwalimu ni mshenzi wa mwisho? Kwa nini asiwasiliane na wazazi kuhusu kuchelewa? Mambo mengine ni kujitakia na siwezi kumuonea huruma.
Wizo siku hizo unatoa maagizo kwa waziri umetisha 🤣🤣🤣🤣Shida ya MADAKTARI MAKANJANJA, unaona kabisa mtoto ameshambiliwa mwili mpaka amedhurika, lakini unaandika CANCER kwenye ripoti! 🤓
Is cancer the cause or a co-existing condition? (which is not a causation).
Mtu akiwa na malaria mwilini, kisha akakakatwa panga akafa, utasema amekufa kwa malaria?
Hizi shule zinazofundisha hawa MAKANJANJA zimesajiliwa kweli kihalali au zinafundishaje?
Hawa ndio wanaotushindilia MACHANJO YENYE MERCURY kutoka Marekani.
Nakuagiza Dkt. Gwajima D ulifuatilie hili swala haraka sana na uwawajibishe wahusika kwa mujibu wa sheria, la sivyo nitakuja hapo ofisini kwako kwa namna ambayo hautaielewa.
Cc Lamomy & DR Mambo Jambo
kwahiyo ulitaka kansa isubir siku mbili tatu zipite ili isionekane ni mwl ? ndo hoja yako hii ?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Mtoto alikuwa mzima hadi alipopata adhabu,baada ya kupata adhabu ya kuchapwa/na kupigwa na kupoteza maisha ndo inasemekana ni cancer,hapa ndo nashindwa kuelewakwahiyo ulitaka kansa isubir siku mbili tatu zipite ili isionekane ni mwl ? ndo hoja yako hii ?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
unabishana na report ya madaktari ? soma bandiko uelewe , hao walimu huenda hata hawakujua hatua zote hizo mtoto kapitia ila nyiny ndo mnajiongezea story vichwan
HESHIMUNI MAJIBU YA DAKTARI , KIFO KINAKUJA MUDA WOWOTE
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app