DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
kupiga ngumi na kuchapa vinafanana ? hoja ya mama bandama imeharibika kisa kapigwa ngumi na michirizi mgongoni , je WEWE UNAWEZA mpiga ngumi mtoto wa drs la kwanza NGUMI ? Ebu onesha utimamu wako

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app

Kama siwezi kumpiga mtoto ngumi inamaana hawezi kupigwa na mwingine? Wewe ndo unashindwa kuonyesha utimamu kwa kuhitimisha mambo kwa hisia.

Halafu unatakiwa ujue kuwa mtoto kuwa na kansa haimaanishi kwamba hawezi kupigwa.

MFANO,
mtoto ana nimonia halafu ukampa adhabu ya kumweka kwenye pipa la maji baridi akafa, dr akisema kafa kwa nimonia inafuta uhusika wako kwenye kifo cha mtoto?
 
Suala sio kumpooza huyo mama suala ni iwapo kuna mwalimu anafanya ukatili kwa watoto anafichwa.
kwahiyo unahisi wazaz wa mkoa wa kilimanjaro ni wajinga kukaa kimya ? kama huyo kijana angekuwa na tabia hizo kwa ninavyowajua watu wa kilimanjaro wangekuwa wamekiwasha tyr

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hicho kichaka cha kansa ni cha kipumbavu. Suala hapa ni mtoto alipigwa au la? Kama alipigwa ni kwa kiwango gani? Mnajificha na ugonjwa wa mtoto?
Hawa madaktari wengi wao hawajafuzu umahiri wa kitabibu kutokana na uwezo duni wa kiakili na utambuzi hafifu wa mambo kwa ujumla.

Ukifika hospitali inabidi uwe na machale mengi, unaweza kupandikiziwa mauchafu ya ajabu kama yale mauchafu ya corona kwa sababu hata daktari mwenyewe hajui corona ni kitu gani.

They are terribly incompetent lacking basic intelligence and knowledge of ordinary facts.
 
mtatuzi wa mwisho ilikuwa majibu ya hospitali , je majibu kuanzia hatua ya kwanza yalisemaj mpk anafika kcmc ? majibu ya awali ni kuwa bandama ineharibika na alipofika kcmc wakamwambia ana KANSA YA DAMU ambapo dalili yake pia ni bandama kuharibika , lkn huyo mama anabishana na majibu ya kote huko na kwa maelezo ya huyo mama alipewa ela tu wala hawakundikiza hospitalini ili wakafodge majibu vzr , sasa huyo mwalimu alikuwa anaenda kuedit majibu au vp ?

KIFO KINAKUJA MUDA WOWOTE , HII ILIPASWA IWE FUNDISHO KWENU , PIMENI AFYA ZENU NA SIO KUSUBIR KUJA KUWASHUSHIA LAWAMA WENGINE

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Nimekuuliza, mtoto ana nimonia, umempa adhabu ya kukaa kwenye maji, akafa. Ripoti ya Dr imeonyesha nimonia imemuua, inafuta uhusika wako kwenye kifo cha mtoto?
 
Anataka majibu yasiyo na shaka. Yeye kaona majeraha ya fimbo, hospital ya kwanza wamesema mtoto bandama limepasuka na mtoto kasema alipigwa ngumi. anataka kujua ukweli. Hivi wewe angekuwa mwanao ungetoa majibu mepesi kama haya?
taja dalili za kansa ya damu

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hawa madaktari wengi wao hawajafuzu umahiri wa kitabibu kutokana na uwezo duni wa kiakili na utambuzi hafifu wa mambo kwa ujumla.

Ukifika hospitali inabidi uwe na machale mengi, unaweza kupandikiziwa mauchafu ya ajabu kama yale mauchafu ya corona kwa sababu hata daktari mwenyewe hajui corona ni kitu gani.

They are terribly incompetent lacking basic intelligence and knowledge of ordinary facts.
And yet, some idiots incites.
 
Duuu mkuu pole sana bila shaka Dkt. Gwajima D atakuja hapa kutoa majibu …aisee inauma sana sana yani mwalimu anampiga ngumi mtoto hapa hii haikubalika kabisa kabisa!

Nafikiri kwenye hili Mwl Mkuu anapaswa kuchukuliwa hatua kabisa na huyo mwalimu anapaswa kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria hii ni hatari!

Halafu Dkt. Gwajima D unapaswa kutwambia huyo mtumishi wako wa dawati la jinsia anaye lalamikiwa kupuuza watu unapaswa kumuondoa pale hapamfai kabisa!
Yule mwalimu aliyechezesha watoto mziki wa annii,alishughulikiwa haraka.
Huyu anayeficha muuaji,tunasubiri taratibu zifuatwe.
Nakushauri lalamika kwa waziri wa elimu haraka iwezekanavyo. Alafu mbona mama anahangaika peke yake?
Baba yuko wapi,na anafanya nini? au ndo wale wanaume mithili ya jogoo,
tetea anapambana na kunguru asile vifaranga,jogoo amesimama pembeni anawika tuu.
 
Nimekuuliza, mtoto ana nimonia, umempa adhabu ya kukaa kwenye maji, akafa. Ripoti ya Dr imeonyesha nimonia imemuua, inafuta uhusika wako kwenye kifo cha mtoto?
Hawezi kukujibu huyo. Hana umahiri wa kidaktari.

Yale yale ya D MBILI.
 
kwahiyo unahisi wazaz wa mkoa wa kilimanjaro ni wajinga kukaa kimya ? kama huyo kijana angekuwa na tabia hizo kwa ninavyowajua watu wa kilimanjaro wangekuwa wamekiwasha tyr

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Wewe inaonekana upo hapo maeneo ya shule.

Umejuaje kuwa hakuna malalamiko? Maana hili tumelijua kupitia hapa JF na ni lalamiko lililokuwepo na hatujawahi lisikia. Unajuaje kuwa hakuna malalamiko kama haya?
 
Mkuu samahani sikujui, ila kwenye hili funga mdomo wako kaa kimya, na uache KCMC Ijibu shutuma zake., Ikiwezekana Hii ID ichunguzwe wewe utakua mmoja wa wauwaji.
mnapoelimishwa mpende kuelemika , KCMC wajibu nini wakat walitoa majibu na majibu yao yanafanana na majibu ya hatua ya kwanza , ukisoma bandiko hilo lipo wazi kabisa na hilo bandiko ni kwa mujibu wa huyo mama na sio mwl , kinachowachanganya wengi ni BANDAMA KUHARIBIKA ILA SIDHAN KAMA UNAJUWA HATA BANDAMA INAPATIKANA WAPI MWILINI UHUSIANO WA FIMBO NA BANDAMA , PIA UHUSIANO WA NGUMI NA BANDAMA

WAJINGA KAMA WW MPO WENGI SANA , MNAPINGANA NA TAARIFA ZA VIPIMO MNAENDA AMINI MANENO YA MDOMONI

KWENYE SIMULIZI YOTE INAONESHA KABISA MWL ALIISHIA KUMPA ELF 20 na Sidhani kama mwl alijuwa lolote linaloendelea , je kwann hospitali zote hawajatoa taarifa ya uhusiano wa ngumi na matatizo aliyokuwa nayo mtoto na badala yake wakasema mtoto ana kansa ya damu

HII INFERIORITY INAWASUMBUA SANA , UNAFIKIA HATUA UNAMTISHA MTU AWAACHE MUENDELEE KUWATIA HOFU WALIMU ILI WASHINDWE KUTIMIZA WAJIBU WAO WA KITAIFA , KWA AKILI HIZO MIAKA KADHAA MBELE TUTAKUWA NA KIZAZI GANI KAMA WAELIMISHAJ WATAAMUA KUIFANYA KAMA SEHEM YA KIPATO NA SIO UJENZI WA TAIFA LE KESHO

MUDA MWINGINE MJUE NA ATHARI ZA MAMBO MNAYOYASHABIKIA

HII MIKASA INAPENDWA NA WANASIASA NA MTAONA HUYO KIJANA ATHARIBIWA MAISHA YAKE NA ATAKUWA KAFARA YA MWAASIASA X KUPATA UMAARUFU WKT ILIKUWA JAMBO LA KUWASISITIZIA MUPIME WATOTO ZENU AFYA KABLA YA KUWAPELEKA MASHULENI

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hehehe. Nyie madktari wenye D MBILI ni vituko, hamjafuzu umahiri wa kitabibu ndio maana mgonjwa wa majeraha ya mwili anaambiwa ana KANSA!

Full ukanjanja na kupiga ramli kama magoigoi ya kichawi. Uwezo duni wa kikazi na vigezo hafifu vya kitaaluma.

Mtu ana D MBILI ataweza wapi udaktari zaidi ya kubambia bambia tu na kutoa majibu feki ya kikanjanja! Hehehe [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
hahaaa unazingu aseee , hizo D alisomea chuo gan

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Uliwahi kuona ile video ya mtoto anapigwa na house maid Uganda? Mtoto wa miaka 2 au 3 hivi? Anapigwa mangumi na mateke kama mwizi? Kama kitu hujawahi kuona usiseme hakiwezekani. Dunia imejaa makatili ambao mtoto wako kwao ni kama paka tu wanaweza kumpiga hata panga akafie mbali.
house maid na mwl aliesomea ETHICS za kaz wanafanana ? ina maana ww unaez mpiga mtoto wa drs la kwanza kisa huyo housemaid aliweza ?

hv unawachukuliaje walimu mkuu ?

ebu tuache dharau basi

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kama siwezi kumpiga mtoto ngumi inamaana hawezi kupigwa na mwingine? Wewe ndo unashindwa kuonyesha utimamu kwa kuhitimisha mambo kwa hisia.

Halafu unatakiwa ujue kuwa mtoto kuwa na kansa haimaanishi kwamba hawezi kupigwa.

MFANO,
mtoto ana nimonia halafu ukampa adhabu ya kumweka kwenye pipa la maji baridi akafa, dr akisema kafa kwa nimonia inafuta uhusika wako kwenye kifo cha mtoto?
unatumia kigezo gan kuamin mtoto alipigwa ngumi na haikuwa KANSA YA DAMU ? je una ushaihidi kuea huyo mwl alijuwa mtoto alikuwa anapitia hatua zipi za kimatibabu ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom