Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
kupiga ngumi na kuchapa vinafanana ? hoja ya mama bandama imeharibika kisa kapigwa ngumi na michirizi mgongoni , je WEWE UNAWEZA mpiga ngumi mtoto wa drs la kwanza NGUMI ? Ebu onesha utimamu wako
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Kama siwezi kumpiga mtoto ngumi inamaana hawezi kupigwa na mwingine? Wewe ndo unashindwa kuonyesha utimamu kwa kuhitimisha mambo kwa hisia.
Halafu unatakiwa ujue kuwa mtoto kuwa na kansa haimaanishi kwamba hawezi kupigwa.
MFANO,
mtoto ana nimonia halafu ukampa adhabu ya kumweka kwenye pipa la maji baridi akafa, dr akisema kafa kwa nimonia inafuta uhusika wako kwenye kifo cha mtoto?