Mwanangu Ana E Zote na F 1 ya Hesabu, Je Anaweza Kupata Nafasi za Nursing?

Mwanangu Ana E Zote na F 1 ya Hesabu, Je Anaweza Kupata Nafasi za Nursing?

Nan kasema nursing inahitaji mazezeta?mwambie arisit
 
Mama ninakuomba unikabidhi huyo mtoto,mie nipo moro-sua tumtafutie sxul hapahapa..then nitamkazania hadi afaulu..umenielewa?
 
UKIPATA F umefeli, pia ukipata E umefeli. kwa utaratibu wa sasa E na F zote zinamaanisha mwanafunzi amefeli, kwa maana hiyo mdogo wetu hajafaulu hata somo moja na hivyo hawezi kupata chochote kama ni kwa mfumo wa elimu. NDIO MAANA MIMI NILISEMA NI BORA WANGEANDIKA F tu badala ya E mana wanachanya watu. hiyo E haina msaada wowote. ila angepata D mbili hapo sawa.

Mkuu uko sahihi sana, E imewekwa kuwachanganya tu watu haina tija kwa sababu ina thamani Sawa na F, sasa imewekwa ya nini?
 
mwanangu ana matokeo ya F4 ambapo amepata E zote na F moja, nataka nimpeleke nursing je ana sifa? naomba ushauri wenu wana jf........... mkoa wowote

Unaamini WAGONJWA ndio wanahitaji MAZEZETA?
 
mwanangu ana matokeo ya F4 ambapo amepata E zote na F moja, nataka nimpeleke nursing je ana sifa? naomba ushauri wenu wana jf........... mkoa wowote

E zote na F moja-hapo ni Zero au Four.
kwani vile vyuo vinavyofundisha Business management ya uk hawezi pata kweli?
 
Mbali ya nursing hata kilimo cdhan kama ataweza coz kwa hiyo akil yake hawez tofautsha mche na magugu!!!!!!!!!!! 😀😀🙁😱
 
Back
Top Bottom