Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
dah! pole sana kaka. Kwa matokeo hayo, huo ni mzigo. mpeleke geleji tu.
Akaharibu magari ya watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah! pole sana kaka. Kwa matokeo hayo, huo ni mzigo. mpeleke geleji tu.
Ataua watu tu....
huyo mtafutie fani inayohitaji nguvu kuliko akili
Kama ipi kwa mfano?
Kazi zenye magwaride...
Unataka awa-Mwangosi watu wasio na hatia?
Teh basi akawe mgambo tu, abebe kirungu....
Mama lishe wanunue helmets
UKIPATA F umefeli, pia ukipata E umefeli. kwa utaratibu wa sasa E na F zote zinamaanisha mwanafunzi amefeli, kwa maana hiyo mdogo wetu hajafaulu hata somo moja na hivyo hawezi kupata chochote kama ni kwa mfumo wa elimu. NDIO MAANA MIMI NILISEMA NI BORA WANGEANDIKA F tu badala ya E mana wanachanya watu. hiyo E haina msaada wowote. ila angepata D mbili hapo sawa.
hahahahahAtaua watu tu....
huyo mtafutie fani inayohitaji nguvu kuliko akili
Mama lishe wanunue helmets
mwanangu ana matokeo ya F4 ambapo amepata E zote na F moja, nataka nimpeleke nursing je ana sifa? naomba ushauri wenu wana jf........... mkoa wowote
mwanangu ana matokeo ya F4 ambapo amepata E zote na F moja, nataka nimpeleke nursing je ana sifa? naomba ushauri wenu wana jf........... mkoa wowote
Sasa hapo si ana zero mwambie akalime kwa umesikia nursing ndo wanahitaji mazezeta.
hahahahah
ongea kwa mifano evelyn
Akawe mgambo tu....
hahaha ugambo haulipi