Hosiptali ipi wanakata kimeo?Hicho kinakatwa, mpeleke spitali wanafanya hivyo simple sana
Duh mkuu, mm nilikua naishi dar hapa tandika mbona wanafanya sana hivyo?? Hata mkoa niliokua naishi wanafanya sana kukata hivyo vitu, hio inatokea kwa watoto wadogo ila sio wote, mm nashkuru haikunitokea hio sote tuliozaliwa hme family nilipomuuliza bimkubwa aliniambia haikutokea tunashkuru ila watoto wa jirani nimeshuhudia wengi wanaenda kukatwa ni dakika 1 moja tu wala haina tabu kukata hioHosiptali ipi wanakata kimeo?
Kinapona haraka sana muda mfupi, mikate iliochanganywa na chai yaani iliovurugika milaini isiwe moto, uji nk , ukienda watakufahanisha vizuri vyakulaBaada ya kukata inachukua muda gani mtoto kupona na vipi kuhusu aina ya vyakula anavyopaswa kupewa na kutokupewa?
hakuna asiezaliwa na kilimi or kimeo ni vile unakuta hakimsumbui akiwa mdogo ila baadhi yao huja kusumbuliwa ukubwani na wengi huwa wanakata watoto wakiwa angali n wadogo wakiwa hata hawajitambui mimi nikiwa miongoniDuh mkuu, mm nilikua naishi dar hapa tandika mbona wanafanya sana hivyo?? Hata mkoa niliokua naishi wanafanya sana kukata hivyo vitu, hio inatokea kwa watoto wadogo ila sio wote, mm nashkuru haikunitokea hio sote tuliozaliwa hme family nilipomuuliza bimkubwa aliniambia haikutokea tunashkuru ila watoto wa jirani nimeshuhudia wengi wanaenda kukatwa ni dakika 1 moja tu wala haina tabu kukata hio
Sent using Jamii Forums mobile app
inategemea na umri wa mtoto ila kama nikuanzia miaka mitano hakikisha unampa vitu vya motomoto chai ya tangawizi ni the best(vitu vyamoto vinapochoma hapo ndio kupona kwake) na hakikisha unamfunika maskio baridi isipenyeBaada ya kukata inachukua muda gani mtoto kupona na vipi kuhusu aina ya vyakula anavyopaswa kupewa na kutokupewa?
Very sad, kuna mdogo wangu kipindi tupo wadogo ilisemekana anahichokidude, wakampeleka kwa wataalam wakienyej wakakikata & sjui walikosea nini, mpaka leobwanamdogo hawaezi kuongea, uwezo wake pia wa kukontral ulimi wake ni mdogo na mara nyingi hua anajiumaulimi wakati wa kula. Udende unaflow mda wowote nahawezikuzuia.Habari wakuu,
Naomba niende kwenye mada, mwanangu ana umri wa miaka minne,juzi ndio tumegundua kuna kinyama kimening'inia kwenye koo (kimeo).
Na hili wazo la kumchunguza lilikuja baada ya kuwa na hali ya kukohoa mara kwa mara licha ya kuwa huwa tunampa dawa za kifua na kikohozi.
Nimejaribu kuzungumza na baadhi ya jamaa zangu juu ya tatizo hili na wao kusema kwamba huwa kuna watu wanakata kienyeji sasa mimi nimeamua kulileta hapa ili kupata ushauri.
Natanguliza shukrani zangu.
Hapa ndo najaribu kuwaza kwamba kimeo kinasababisha vipi hali hii ya kukohoa.Mkuu kimeo ni anatomy ya kawaida ya binadamu......kuwa kikubwa sio shida au ugonjwa....ni marachache sana utaenda kwa daktari kwa ajili ya kukata kimeo....
Kikohozi cha mara kwa mara kwa watoto ni kawaida kwani kinga zao hazipo imara kukabiliana na vijidudu pale vitakapojitokeza.....
Kwahiyo mpeleke mtoto akatibiwe kikohozi na sio kukata kimeo.....
mkuu kama ulivyo sema......hakuna uhusiano hapo.....Hapa ndo najaribu kuwaza kwamba kimeo kinasababisha vipi hali hii ya kukohoa.
Ninachofahamu kukohoa kikohozi ni njia moja wapo ambayo njia ya hewa inatoa ute ute mzito uliokueko katika njia hiyo ya hewa kutokana na maambukizi mbali mbali.
Sijajua mpaka sasa kimeo kina mahusiano gani na tatizo aliloleta mdau hapa.
Kuna kimeo na udata. Huyo hakukata kimeo.Very sad, kuna mdogo wangu kipindi tupo wadogo ilisemekana anahichokidude, wakampeleka kwa wataalam wakienyej wakakikata & sjui walikosea nini, mpaka leobwanamdogo hawaezi kuongea, uwezo wake pia wa kukontral ulimi wake ni mdogo na mara nyingi hua anajiumaulimi wakati wa kula. Udende unaflow mda wowote nahawezikuzuia.
Nahis kuna nerve waliikata wakati wanafanya hii huduma.
Jitahidi sana kuwaepuka hawa wanaojiita wataalam wa kienyeji. Wataharibu.
Kimeo kinakuwaje mkuu ?Mkuu dawa ni kukikata hicho kimeo! Kesi yako inafanana na ya mwanangu,ushauri niliopewa ilikuwa kumpeleka kwa mtaalamu wa kazi hiyo mtaani.
Nashukuru mara baada ya kukikata mwanangu haikumchukua zaidi ya siku kama mbili mwanangu akapona kabisa.
Sina hakika kama hospitali wanatoa huduma hiyo!
Kwani kikohozi chake kikavu au kinatoa makohozi ?Habari wakuu,
Naomba niende kwenye mada, mwanangu ana umri wa miaka minne,juzi ndio tumegundua kuna kinyama kimening'inia kwenye koo (kimeo).
Na hili wazo la kumchunguza lilikuja baada ya kuwa na hali ya kukohoa mara kwa mara licha ya kuwa huwa tunampa dawa za kifua na kikohozi.
Nimejaribu kuzungumza na baadhi ya jamaa zangu juu ya tatizo hili na wao kusema kwamba huwa kuna watu wanakata kienyeji sasa mimi nimeamua kulileta hapa ili kupata ushauri.
Natanguliza shukrani zangu.
Huyu aliyemkata hakuwa mtaalamu!Very sad, kuna mdogo wangu kipindi tupo wadogo ilisemekana anahichokidude, wakampeleka kwa wataalam wakienyej wakakikata & sjui walikosea nini, mpaka leobwanamdogo hawaezi kuongea, uwezo wake pia wa kukontral ulimi wake ni mdogo na mara nyingi hua anajiumaulimi wakati wa kula. Udende unaflow mda wowote nahawezikuzuia.
Nahis kuna nerve waliikata wakati wanafanya hii huduma.
Jitahidi sana kuwaepuka hawa wanaojiita wataalam wa kienyeji. Wataharibu.