Mwanangu ana kimeo, napaswa kufanya nini?

Mwanangu ana kimeo, napaswa kufanya nini?

Very sad, kuna mdogo wangu kipindi tupo wadogo ilisemekana anahichokidude, wakampeleka kwa wataalam wakienyej wakakikata & sjui walikosea nini, mpaka leobwanamdogo hawaezi kuongea...
Dah hadi naogopa.
 
Mkuu kimeo ni anatomy ya kawaida ya binadamu......kuwa kikubwa sio shida au ugonjwa....ni marachache sana utaenda kwa daktari kwa ajili ya kukata kimeo...
Nimekuelewa sana mkuu...shukrani sana.
 
Kuna dawa za asili anaweza kupewa na akapoana na sio kukatwa maana kwamba hicho "kilimi" (Soft palate A pair of muscles sweep down from the base of the skull on either side, into the soft palate; two others leave the palate and run down into the tongue and the pharynx) Kinakuwa kimevimbia majimaji/mucus sasa kinakuwa kirefu zaidi na kukereketa na kusababisha kukohoa au kupaliwa. hospitalini ni operation ila dawa za mitishamba wanakirudisha bila shida ukipata tabibu mzuri.
 
Back
Top Bottom