Mkuu pole sana jitahidi kumtibia Hospitali ikishindikana asipo pona Huko Hospitali nione mimi nipate kumtibia kwa dawa zangu za Tiba asilia na akitumia dawa zangu atapona.Ukihitaji Matibabu toka kwangu unaweza kunitafuta kwa njia 2njia ya kwanza Baruwa ya pepe email yangu Address ni fewgoodman@hotmail.com njia ya pili ni add kwenye What's App yako au Viber Account yangu kwa hii namba +905344508169 tupate ku chat live uguwa pole.Alikuwa na matatizo ya upumuaji mara baada tu ya kuzaliwa. Nimepita kama private hospitals 2 wakadai kwamba alikunywa maji ya uchungu wakati wa kuzaliwa.
Wamejaribu kumtibu wawezavyo but imeshindikana na wakam-refer Moro hospital. Baada ya kufika Moro hospital, amepigwa x-ray na amegundulika kuwa na moyo mkubwa.
Najiuliza kama hii tiba inapatikana hapa Tanzania na kama inapatikana, je, ni hospitali ipi nzuri?