ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,035
- 920
Alikuwa na matatizo ya upumuaji mara baada tu ya kuzaliwa. Nimepita kama private hospitals 2 wakadai kwamba alikunywa maji ya uchungu wakati wa kuzaliwa.
Wamejaribu kumtibu wawezavyo but imeshindikana na wakam-refer Moro hospital. Baada ya kufika Moro hospital, amepigwa x-ray na amegundulika kuwa na moyo mkubwa.
Najiuliza kama hii tiba inapatikana hapa Tanzania na kama inapatikana, je, ni hospitali ipi nzuri?