Mwanangu ana moyo mkubwa

Mwanangu ana moyo mkubwa

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,035
Reaction score
920
Alikuwa na matatizo ya upumuaji mara baada tu ya kuzaliwa. Nimepita kama private hospitals 2 wakadai kwamba alikunywa maji ya uchungu wakati wa kuzaliwa.

Wamejaribu kumtibu wawezavyo but imeshindikana na wakam-refer Moro hospital. Baada ya kufika Moro hospital, amepigwa x-ray na amegundulika kuwa na moyo mkubwa.

Najiuliza kama hii tiba inapatikana hapa Tanzania na kama inapatikana, je, ni hospitali ipi nzuri?
 
matibabu inategemea na hali halisi ya ugonjwa.Hapa tz muhimbili wanafanya. Ila apimwe na wataalam tena sio x-ray,afanyiwe vipimo vya moyo muhimbili au TMJ hospital,
 
Samahani sijui tatizo lako liliishiwa wapi?na mimi mwanangu amekutwa nmkubwa mkubwa
 
kuwa na moyo mkubwa (cardiomegaly) siyo ugonjwa ni dalili ya ugonjwa fulani. kwa hiyo kwa maelezo yako mafupi ni ngumu kuongelea matibabu au ushauri wowote. kwa hiyo tiba itategemea na sababu zilizosababisha moyo uwe mkubwa. na matibabu yake yapo hapa Tanzania mikoani huko siyo lazima muhimbili

kufupisha topic nakushauri nenda hospitali kwa vipimo na matibabu zaidi.
 
Alikuwa na matatizo ya upumuaji mara baada tu ya kuzaliwa. Nimepita kama private hospitals 2 wakadai kwamba alikunywa maji ya uchungu wakati wa kuzaliwa.

Wamejaribu kumtibu wawezavyo but imeshindikana na wakam-refer Moro hospital. Baada ya kufika Moro hospital, amepigwa x-ray na amegundulika kuwa na moyo mkubwa.

Najiuliza kama hii tiba inapatikana hapa Tanzania na kama inapatikana, je, ni hospitali ipi nzuri?
Mkuu pole sana jitahidi kumtibia Hospitali ikishindikana asipo pona Huko Hospitali nione mimi nipate kumtibia kwa dawa zangu za Tiba asilia na akitumia dawa zangu atapona.Ukihitaji Matibabu toka kwangu unaweza kunitafuta kwa njia 2njia ya kwanza Baruwa ya pepe email yangu Address ni fewgoodman@hotmail.com njia ya pili ni add kwenye What's App yako au Viber Account yangu kwa hii namba +905344508169 tupate ku chat live uguwa pole.
 
Back
Top Bottom