Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Tena ni ugonjwa wa kurithi, kwahyo fuatilia kama familia yenu haina historia ya huu ugonjwa na basi mkeo familia yake ndo upoWakuu Salaam,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina binti yangu wa miaka minne. Hivi majuzi amebainika kuwa na sickle cell kusema kweli nimechanganyikiwa sababu nasikia ni ugonjwa usio na tiba.
Naomba kujua yafuatayo;
1. Ni kweli ugonjwa huu hauna tiba?
2. Kama si kweli, tiba yake ni ipi?
3. Kama hauna tiba nini hatima yake?
Nimenyongea kwa kweli[emoji27]
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili huna na unaroho mbaya sanaEti unyanyapaa wafrika mna ujinga mwingi sana vichwani mwenu,wakati anachepuka yeye hakufikiria huo unyanyapaa.
Hivi kwa nini Wafrika hampendi ukweli?
Huyo jamaa hajielewi kama kweli ana PhD basi taifa Lina safari ndefu sanaPhd yako umesomea wapi?? Ujinga wako unamuhusu nini mtoto wa miaka minne mgonjwa anayehitaji faraja ya baba (no mara waaa)??
Anyway, hekima haiuzwi,
But hata kama inauzwa laki 3 unayo??
Harafu unajiita baba ,mtoto anaumwa unamwachia mama yake ,unatakiwa uache shughuli zote umpeleke mtoto hospitaliniAsante mkuu, umetaja dalili zote vyema kinachonishangaza mama yake na mimi hatuna historia ya kiukoo kuwako kwa ugonjwa huu. Kwa sababu yeye ndiye aliyempeleka hospitali nikamuuliza mbona wote kwetu haupo akasema eti sisi ni carrier.
Mbaya zaidi sijaviona vipimo kwa macho, hata nikimdai document za majibu anadai hakupewa.
Mpaka napata mashaka. Ila dalili ni hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto anasickle cell anampeleka boarding maamuzi kama haya yanawacosti sanaAtumie mlonge kwenye chakula. Kijiko Kimoja cha chai kwenye chai asubuhi, mchana achanganye kwenye mboga au juice na jioni pia. Itachukua muda ila atapona. Huu ni ushuhuda kwa watoto wa kaka yangu walikuwa nayo toka udogoni ila sasa hivi na boarding wanasoma.
Asipime mkuu,mtoto anaweza kukosa huduma za msingi. Kikubwa aikubali hali ya mtoto waoPima DNA huyo mtoto
Inawezekana huyo Mkeo alikuficha vitu flani flani. Mimi pia ilishanikuta hiliAsante mkuu, umetaja dalili zote vyema kinachonishangaza mama yake na mimi hatuna historia ya kiukoo kuwako kwa ugonjwa huu. Kwa sababu yeye ndiye aliyempeleka hospitali nikamuuliza mbona wote kwetu haupo akasema eti sisi ni carrier.
Mbaya zaidi sijaviona vipimo kwa macho, hata nikimdai document za majibu anadai hakupewa.
Mpaka napata mashaka. Ila dalili ni hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri, hilo la DNA halinisumbui ni wangu tu kwa namna yoyotePole.
Naona huku juu umeshapata ushauri wa kuweza kusaidia.
Hilo la DNA isiwe kipaumbele sana, mtoto ameshazaliwa kwako ni wako hasa kipindi hiki cha ugonjwa usianze kuweka maulizo akilini mwako.
Zamani walikuwa wakisema baada ya miaka saba huo ugonjwa unapungua nguvu.
Pia tafuta waombaji, hata akiwa anatumia dawa na maombi yawepo, Mungu anapenda watoto, atamponya.
AsanteKuna jamaa nimesoma naye o level na uni, alikuwa na shida hii. Hadi sasa yupo hai na ana mke na mtoto mmoja. Alikua akitumia mronge miaka yake yote. Na nadhani ndio uliomsaidia, maana familia yao ilikua ni duni kumudu hayo masuala ya kubadili damu.
SawaNi sawa na mtu aliyezaliwa na ualibino, ukifuata maelekezo kila kitu kitakaa sawa
Mimi sijaona hata kikaratasi, ila sio kesiHapana usimtirie mashaka mkeo Kwa lolote
Nina Binti pia anaumwa, historia nilivyouliza waliniambia hawana,lakini baada ya miaka miwili mbele niligundua Kuna ndugu wa babu ya baba inasadikika walikuwa wanakufa sana
Kuuliza kiundani walikuwa na changamoto zinazofanana na sickle cell..
Maana yangu vinaweza pita vizazi hata 4 au zaidi visioneshe dalili zozote ya kuumwa ila wakawa carrier TU
Kuhusu majibu hata mm mke alipewa kikaratasi Cha kawaida TU ambacho hakikua na details za kutosha, lakini Haina maana Kuna fraud yoyote
NimejifunzaHarafu unajiita baba ,mtoto anaumwa unamwachia mama yake ,unatakiwa uache shughuli zote umpeleke mtoto hospitalini
Mkeo sio ndg yako mwanao ndo ndgyako ,jitahidi umpeleke mtoto mwenyewe na umuulize Dr maswali hayo
Wakuu Salaam,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina binti yangu wa miaka minne. Hivi majuzi amebainika kuwa na sickle cell kusema kweli nimechanganyikiwa sababu nasikia ni ugonjwa usio na tiba.
Naomba kujua yafuatayo;
1. Ni kweli ugonjwa huu hauna tiba?
2. Kama si kweli, tiba yake ni ipi?
3. Kama hauna tiba nini hatima yake?
Nimenyongea kwa kweli[emoji27]
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteKuna jamaa mmoja nilimsikia anasema habar ya mtoto wake anasema alikuwa na changamoto hiyo na amesumbuka sana na huyo mtoto
wake mpaka kwa sasa ametengamaa na yuko darasa la saba nafikir umpigie atakwambia tiba aliyotumia ,anasema mtoto wake alikuwa analala analia na kusikia maumivu makali sana ya viungo ila kwa sasa yuko vizur nambar Yake ni 062 127 4472/
Pima DNA hu yo mtoto
[emoji24][emoji24][emoji24]Mtoto sio wako huyo [emoji22][emoji22][emoji848][emoji848][emoji848]Asante mkuu, umetaja dalili zote vyema kinachonishangaza mama yake na mimi hatuna historia ya kiukoo kuwako kwa ugonjwa huu. Kwa sababu yeye ndiye aliyempeleka hospitali nikamuuliza mbona wote kwetu haupo akasema eti sisi ni carrier.
Mbaya zaidi sijaviona vipimo kwa macho, hata nikimdai document za majibu anadai hakupewa.
Mpaka napata mashaka. Ila dalili ni hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatesa akili sana,baadhi ya wadada huficha maginjwa ya kurithi waliyonayo kwao.Bora mtu awe muwazi,ijulikane kama unamkubali hivyohivyo au laa.Imewahi kunitokea kwenye mahusiano.Mtu hasemi,hadi nikaja kufanya jitihada zangu mwenInawezekana huyo Mkeo alikuficha vitu flani flani. Mimi pia ilishanikuta hili
Nilikuja kujuta baadae
Kapimeni tena, ni ugonjwa wa kurithiAsante mkuu, umetaja dalili zote vyema kinachonishangaza mama yake na mimi hatuna historia ya kiukoo kuwako kwa ugonjwa huu. Kwa sababu yeye ndiye aliyempeleka hospitali nikamuuliza mbona wote kwetu haupo akasema eti sisi ni carrier.
Mbaya zaidi sijaviona vipimo kwa macho, hata nikimdai document za majibu anadai hakupewa.
Mpaka napata mashaka. Ila dalili ni hizo
Sent using Jamii Forums mobile app