Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Hapo hata km ni mm sisemi saabu najua kifatacho. inachotakiwa km mmepanga kuishi mume na mke kabla hamjaanza uzazi mkapime wote wawili hospitali uko mtaambiwa km ni salama au mtazaa watoto wenye matatizo huko mbeleni.Inatesa akili sana,baadhi ya wadada huficha maginjwa ya kurithi waliyonayo kwao.Bora mtu awe muwazi,ijulikane kama unamkubali hivyohivyo au laa.Imewahi kunitokea kwenye mahusiano.Mtu hasemi,hadi nikaja kufanya jitihada zangu mwen
sasa kibongobongo mnabebana tu mnakuja kushtuka mna watoto 3-4 hlf wote ndo km hivi. kifupi tunafanya mambo kwa kubahatisha sana hlf yakishaharibika tunamsingizia muumba ndo alivopanga, hlf maisha yanaendelea