Mwanangu anaangalia kiganja cha mkono na kucheka

johnj

Member
Joined
Jul 23, 2008
Posts
91
Reaction score
31
Habari wadau,

Mwanangu ana miaka kama miwili hivi na mara nyingi huangalia kiganja chake cha mono wa kushoto na kuangua kicheko.

Anaweza akafanya hivyo mara kadhaa kwa siku na mara nyingine akishtuka usiku pia hufanya hivyo.

Ana tatizo gani ? Nifanyeje ?

Mzizi mkavu upo ?
 
Daah! hiyo kali, ngoja waje wataalam
 
Tatizo ni hajiamini tu kwa anavojiona ka kituko flani,ili umchunguze zaidi mvue nguo zote halafu mwache ndo utashuhudia vituko zaidi
 
Mara nyingi huchukua muda mtoto kuufahamu mwili wake.Kisaikolojia hapo anausoma mwili wake.
 
Mkuu johnj Ni Dalili nzuri kwa siku za mbele mwanao atakuwa na kipaji fulani ambacho Mungu mwenyewe amekwisha mpa teyari inachotakiwa umtunze vizuri sana apate kukukuwa utaona mwenyewe kadri siku zinavyokwenda na kama una wasiwasi jaribu pia kumuona Daktari ikiwa hali inazidi kuwa kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, itapendeza pia ukampeleka kwa daktari wa watoto aweze kumwona na kubaini nini kinamsibu, isije kuwa mtoto ana dalili za autism ambapo mojawapo wanakuwa na tabia ya kufanya kitu fulani kwa kurudiarudia mara kwa mara...

Hujataja umri wa mtoto na kukua kwake kukoje. All in all,waone madaktari wa watoto tafadhali.
 
Okey tungejua umri wa mwanao ingekuwa rahisi kubaini.Kama Nyoni hapo kikawaida mwanao yuko fiti ila tutajie umri wake
 
Mpeleke akaombewe..isije ikawa mizimu inamfuatilia mtoto wako! Hii huwa inatokea kama katika ukoo wako au wa mkeo kuliwahi kuwepo ndugu ambaye alikuwa kichaa au mganga wa kienyeji na alishatangulia mbele ya haki!
 
Dah,hyo kali...! huyo dogo ana mental disorder wahi kumpeleka kw psychologist then kwa Dr. wa wtoto,ukicheza atakuwa zz
 
Ndugu soma hapa kama ina fanana basi chukua hatua .

[h=2]Symptoms[/h]Most parents of autistic children suspect that something is wrong by the time the child is 18 months old and seek help by the time the child is age 2. Children with autism typically have difficulties in:

  • Pretend play
  • Social interactions
  • Verbal and nonverbal communication
Some children with autism appear normal before age 1 or 2 and then suddenly "regress" and lose language or social skills they had previously gained. This is called the regressive type of autism.
People with autism may:

  • Be overly sensitive in sight, hearing, touch, smell, or taste (for example, they may refuse to wear "itchy" clothes and become distressed if they are forced to wear the clothes)
  • Have unusual distress when routines are changed
  • Perform repeated body movements
  • Show unusual attachments to objects
The symptoms may vary from moderate to severe.
Communication problems may include:

  • Cannot start or maintain a social conversation
  • Communicates with gestures instead of words
  • Develops language slowly or not at all
  • Does not adjust gaze to look at objects that others are looking at
  • Does not refer to self correctly (for example, says "you want water" when the child means "I want water")
  • Does not point to direct others' attention to objects (occurs in the first 14 months of life)
  • Repeats words or memorized passages, such as commercials
Social interaction:

  • Does not make friends
  • Does not play interactive games
  • Is withdrawn
  • May not respond to eye contact or smiles, or may avoid eye contact
  • May treat others as if they are objects
  • Prefers to spend time alone, rather than with others
  • Shows a lack of empathy
Response to sensory information:

  • Does not startle at loud noises
  • Has heightened or low senses of sight, hearing, touch, smell, or taste
  • May find normal noises painful and hold hands over ears
  • May withdraw from physical contact because it is overstimulating or overwhelming
  • Rubs surfaces, mouths or licks objects
  • Seems to have a heightened or low response to pain
Play:

  • Doesn't imitate the actions of others
  • Prefers solitary or ritualistic play
  • Shows little pretend or imaginative play
Behaviors:

  • "Acts up" with intense tantrums
  • Gets stuck on a single topic or task (perseveration)
  • Has a short attention span
  • Has very narrow interests
  • Is overactive or very passive
  • Shows aggression to others or self
  • Shows a strong need for sameness
  • Uses repetitive body movements
 
ni hali ya kawaida kabisa wala usiwe na shaka
 
MziziMkavu, kuna mahusiano gani baina ya alama za kiganja cha mtoto na baba. Je ni kweli kwamba hizi alama zinatakiwa kufanana baina ya mtoto na baba na sio mtoto na mama?

Kuna mjadala nimeusikia kijiweni kuwa alama hizi zinaweza kutumika kama DNA?
 
Last edited by a moderator:

MziziMkavu mwenyewe hapa nakusubiri
 
Last edited by a moderator:
Fanya mengi unayoshauriwa. Kama ni mkristu muwekee maji ya baraka kwenye kiganja na uharibu yote ambayo hayajatoka kwa Mungu na kuyateketeza. Fungua baraka na uzima kwa mamlaka tuliyopewa Mathayo 18:18 na Yeremia 1:10
Halafu mpeleke hospitali kwa wataalamu. Kwa njia hiyo utakuwa umeshambulia tatizo kimwili na kiroho kama kweli ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…