johnj
Member
- Jul 23, 2008
- 91
- 31
Habari wadau,
Mwanangu ana miaka kama miwili hivi na mara nyingi huangalia kiganja chake cha mono wa kushoto na kuangua kicheko.
Anaweza akafanya hivyo mara kadhaa kwa siku na mara nyingine akishtuka usiku pia hufanya hivyo.
Ana tatizo gani ? Nifanyeje ?
Mzizi mkavu upo ?