Mwanangu anaipenda sana computer na na ujuzi wake nauona. Nisaidien ana ufaulu wa four ya 26 f ya maths , English na biology pass

Mwanangu anaipenda sana computer na na ujuzi wake nauona. Nisaidien ana ufaulu wa four ya 26 f ya maths , English na biology pass

Tariq gabana

Member
Joined
Jan 25, 2024
Posts
6
Reaction score
7
Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,,

Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe mtu Ambae kazi na Cheti kimlipe ata akifika Diploma anauwezo wa kujiangalia maisha yake kua kama mzazi toa maoni ata kama si mzazi lakini future ya mtu inajengwa na idea 💡 n mawazo mbalimbali
 
Aende VETA akaanze kozi za ufundi wa Computer. Ila kama anapenda computer, sasa hivi kuna namna nyingi mbadala za kujifunza na kupata elimu sahihi, ikiwemo kujifunza hata programming na software.
Usikubali hizi hadithi za kuwa umefeli kama kweli una nia. Shule za vipanga hazina tofauti na shule za VETA kama kijana ananidhamu na nia ya kuwa top performer wa ICT
 
Umenena kweli tupu. Mzazi fuata ushauri huu mzuri sana.
 
Kama ni kujifunza ili ajiajiri na sio kuajiriwa, aanzie hapa hizi za bure....
Halafu pia kuna za kulipia, ambazo ukiwa Cisco certified ni zaidi ya vilaza waliosomea digirii ya kumeza maandishi....
Mnunulie PC, aanze kuchangamka.....nasema PC sababu ina nidhamu yake katika kusoma sio laptop aanze kuangalia upupu wa utupu....
 
Back
Top Bottom