Mwanangu analia sana wakati wa maombi

Pole inaweza KUWA na vitu vya Aina mbili hii ya kwanza ni mazingira tu ya ukuaji na hii ya pili ni hii ya uwepo wa nguvu tofauti hapa naomba nieleweke sio kila kanisa Lina nguvu halisi ya Mungu pili yamkini kuna roho tofauti Zina Anza kumnyemelea Mtoto mara nyingi huwa ni maroho ya urithi kutoka katika Familia na wakati mwingine ni roho za kichawi Zina Anza kupandwa ndani yake muwahi kabla mambo hayajaharibika.. Ukiona hali inaendelea nicheki nitakusaidia by The Grace of God in Jesus Name.
 
Nwache

Analia kwa furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…