Mwanangu anapenda kuwa Askari polisi namsaidiaje kufuta fikra hizo?

Mbona polisi wana kazi nyingi sana na vitengo kibao?
Mwambie kuna ajira nyingi na inategemea na elimu yake
Kama anawaza uniform tu basi muache akikua ataelewa ukweli
Kama atasoma awe hata IT
 
Dah! Hapo Comrade hesabia tu umepata hasara.
 
Hizi pigo za kijana wangu kabisa yaani anawakubali polisi kinoma ila nilikuja kugundua cartoon zinamfanya aone polisi wa nje walivona commitment ya kusaidia raia na bongo ndo hivo hivo.

Siku hizi nikiwa naye barabarani kama kuna foleni anachukia sana na mimi namwambia polisi ndio wanasababisha, au akiona watu wanagombana namwambia polisi hawafanyi wajibu wao naona kidogo ameanza kuwachukia.
 
Uzuri ni kwamba inafahamika wazi kabisa sifa zao.
Ni Watekaji wa raia (kama alivyosema Sativa), lkn yule jamaa wa Handeni sijui Kombo waliye mkamata na kukana kumshikilia lkn siku 29 baadae wakakili kuwa naye.
Sasa kama kijana wako naye ana vinasaba vya utekaje mpe ruhusa.
 
Safi.
 
NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA
Kuwa askari polisi siyo janga,janga ni CCM na serekali yake wanaowatumia polisi kiharifu ukisoma sheria za polisi sheria zao ni nzuri sana zimejaa uadilifu mtupu,tatizo ni CCM.

Kijana wako amezaliwa akiwa ameandaliwa kabisa kitu cha kufanya katika maisha yake kwa hiyo unatakiwa umuhimize kukazana na masomo ili aweze kupata kazi ya ndoto yake.
 
Muache utafika mda atabadilisha mawazo. Mimi nikiwa shule ya msingi nilikua natamani kuwa padre na nkapambaniwa mpaka nikapata nafasi ya kwenda kusoma seminari lakini ilivobaki wiki Moja kabla ya kwenda seminari nikawa sitaki Tena kuwa padre ila ilinibidi niende seminari maana baba alikua ashalipa ada na sikukwambia yoyote kuwa sitaki Tena kuwa padre mpaka nilivomaliza form four ndo sikurudi Tena kwenda form five seminarini nikaenda shule ya government na sasa Miki ni polisi sio padre. Na huyo mwanao atabadilika tuu subiri afike sekondari
 
Mpe kazi ya kumteka mtu akiweza mkubalie akawe polisi lakin akikataa bas mchape afute hizo fikra
 
Muelekeze kazi wanazozifanya police wa TZ,....alafu uone kama ataupenda tena,....
 
Mwache arukeruke tu...
Kakikua kataelewa
 
Ila kazi ya upolisi kwa mwanangu hapana ase. Labda kama toto la kambo lisukumie tu huko liende.

Majeshi yangu pendwa jw na uhamiaji
 
Usimwambie lolote, msisitize asome kwa bidii, akifika form four atabadili mtazamo, Hakuna mtu anayefanya vizuri anaenda huko, huyo Bado mtoto
Akishafaulu tu automatically hawezi kuwaza upolisi, wa kwangu anatamani kuwa teacher lakn siyo wa kayumba schools πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Akishafaulu tu automatically hawezi kuwaza upolisi, wa kwangu anatamani kuwa teacher lakn siyo wa kayumba schools πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hatari sana
 
Ndugu mzazi anza sala ya toba juu yake.
Kuna baadhi ya kada zina leta laana kwenye kizazi.
 
Hiiiiii!!! Labda awe mgambo wa jiji au Ledi Bligedi, upolisi hapana, kuyela na ngong'ho m'ma modoka bhojiko pyee! Hapana bhagosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…