Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Umeelezea kijumlajumla sana mpaka hatuwezi kujua kama wewe ndiye una matatizo au ni huyo mtoto.

Ungeweka mifano hai tungeweza kuelewa zaidi.
 
hapendi michezo anapenda kulala lala
hawezi cheza mbele yangu
Mi nimkali hasa linapokuja suala la shule
amelelewa na mama ake nimemchukua akiwa darasa la tatu
Huu ukali unamuharibu sana. Jaribu kubadilika mpe nafasi ya kujichanganya na rika lake kwenye michezo na masomo halafu usimbane bane sana
 
Akishindwa huwa unatoa reaction gani au maneno gani huwa unamuambia

Vipi kama kila ukimuuliza kitu anahisi kama unataka kumpima na kumuhukumu kiasi cha yeye kupata hofu ya kujibu kwa uwezo wake halisi

Na je, umeshawahi kumpima intelligence yake kwenye mambo mengine maana unaweza kumkuta darasani au kwenye public speaking sio mzuri lakini akawa mzuri kwenye creative works kama graphics design, videography au chochote kile anachokipenda

Yawezekana shida ikawa kwake lakini ikawa kwako pia kwa kutafuta kitu unachokitaka kwa mwanao kuliko kile alichonacho..

Yawezekana ukawa disgraced nae kiasi cha kumuona ni useless ila kama hana health issues, ipo siku atakushangaza hususani akipata supportive system nzuri huko nje

Wale watu watakaomuelewa na kumkubali kwa uwezo alionao kuliko alichokikosa. Na hapo ndipo utajijua umekuwa failure kiasi gani kama mzazi licha ya kuwa na akili za kufaulu darasani
 

Weka mifano ya unachosema. Maana umeeleza kuwa wewe una akili lakini umeonesha nawe ni kama yeye. Hujaweka hata mifano kadhaa nasi tujiridhishe usemacho sana sana umekuja kulalamika tu humu. Huyo mtoto inaonesha ni wako kabisa bila kuchakachuliwa. Na wewe inaonesha network not available.
 
Kazi ni mvuvu sasa sijuagi ana talent gan??
uvivu inaweza kua talent
 
Ongea nae. Usikute kuna vitu vinamchanganya we haujui. Especially mambo ya mapenzi.

Na je, zamani enzi za shule ya msingi au wakati ana 10-15 years alikuaje?
mapenzi no hana hizo mambo hata kubalehe vizuri bado!!

zamani alikua muongo muongo vikatembea viboko had akaacha ila hilo la shule shida ipo tangu zamani !!
Ukikagua daftari lake lazima upate hasira

Mfano; kwene daftar amepata ila swali lile lile umpe afanye hawezi! hapo ndipo fimbo zilipoanza kuhusika
 
Kuna kitu hakipo sawa kwenye ulezi wako kiongozi
 
Kumbe!! Kwa sentensi hii inaonyesha wazi akili karithi kwako au wewe hujamlea vizuri.

Umeshindwa kuelewa hoja yangu na kuichanganua
nimekuelewa sana mkuu naww nimekuuliza
Sehemu tunayokaa hamna watoto wa rika lake kwaiyo watoto wa rika lake anaonana nao shule. sasa unavosema namchanganya na werevu nawatoa wap

mtoto anaenda asubuhi anarudi jioni!
ungefafanua tu hapo tungeelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…