Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
- #61
sitak awe kama mm nataka awe bora zaid yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sitak awe kama mm nataka awe bora zaid yangu
Weekend au kipindi cha likizonimekuelewa sana mkuu naww nimekuuliza
Sehemu tunayokaa hamna watoto wa rika lake kwaiyo watoto wa rika lake anaonana nao shule. sasa unavosema namchanganya na werevu nawatoa wap
mtoto anaenda asubuhi anarudi jioni!
ungefafanua tu hapo tungeelewana
mpeleke shule ya jeshi moro town kizuka atarudi tofauti utawapatia na kazawadi maafandeukali ni pale napomfundisha simkaripii mambo mengine! ila kwene shule akileta uzembe namtandika
Nipe maelekezo vizuri ya hiyo shule na napataje nafasi hapompeleke shule ya jeshi moro town kizuka atarudi tofauti utawapatia na kazawadi maafande
Nilivyoona tu hii reply yako basi nimepata jibu tatizo ni wewhapendi michezo anapenda kulala lala
hawezi cheza mbele yangu
Mi nimkali hasa linapokuja suala la shule
amelelewa na mama ake nimemchukua akiwa darasa la tatu
Hilo ni tatizo jingine na kuna tatizo nililosema piasio common sense hajiamini .
Muulize huyo mwanamke mtoto kipindi anazaliwa alilia baada ya muda gani?mkuu siku nae !! amezaliwa nje ya ndoa
tafuta kitu anaweza kufanya kwa ufanisi muendeleze huko. school is not for everebaadi. wengine wanakwenda kujua kusoma na kuandika. mfano p.funk majani. yule alikua ni kilaza wa masomo ya kawaida shuleni..IST wakagundua uwezo wake ktk muziki na mapenzi yake ktk fani ya utayarishaji. from there a star p.funk was bornmapenzi no hana hizo mambo hata kubalehe vizuri bado!!
zamani alikua muongo muongo vikatembea viboko had akaacha ila hilo la shule shida ipo tangu zamani !!
Ukikagua daftari lake lazima upate hasira
Mfano; kwene daftar amepata ila swali lile lile umpe afanye hawezi! hapo ndipo fimbo zilipoanza kuhusika
mkuu naona uko well Educated kwene mambo za temperament
nieleweshe monology??
huyu kwa ninavomsoma ni introvert lakin sasa ndo nashangaa introvert huwa na akili nyingi tofauti ni kwake.
Pole sana ila usione kuwa ni mzigo. Binadamu tuna uwezo tofauti kwa sababu mbali mbali. Alikulia kwenye mazingira gani? Alikuwa anapigwa au kufokewa sana? Sisi waafrika kuna vitu huwa tunadhani ni kumjenga mtoto kumbe tunamharibu. Jaribu kumuonyesha upendo na kumsahihisha bila kumfokea.Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.
Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .
Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!
MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average
Nifanyaje kumsaidia
ipo kambi ya ngerengere. nachojua toto tukutu kilaza konki tulipeleka hapo ikarudi mtu mpya. maafande wakapelekewa zawadi. historia ya 2009.Nipe maelekezo vizuri ya hiyo shule na napataje nafasi hapo
Ana wasiwasi hata akili yupo sawa kama anapata division 3 basi ni kutojiamini na kuamini majibu yake. Fuatilia kama alikuwa anajibu maswali darasani kwa kunyoosha mkono.Hilo ni tatizo jingine na kuna tatizo nililosema pia
mkuu kwene familia zetu ni ngumu sana watoto kumzoea baba hasa kwakua anawafuatilia mambo yao muhimu!!Nilivyoona tu hii reply yako basi nimepata jibu tatizo ni wew
ndio kwa maelezo yakeAna wasiwasi hata akili yupo sawa kama anapata division 3 basi ni kutojiamini na kuamini majibu yake. Fuatilia kama alikuwa anajibu maswali darasani kwa kunyoosha mkono.
Aanzie hapoana mpenzi heeeh kijana wangu bado hajaanza hayo mambo mzee
Nahitaji nimpeleke hiyo shule aiseeipo kambi ya ngerengere. nachojua toto tukutu kilaza konki tulipeleka hapo ikarudi mtu mpya. maafande wakapelekewa zawadi. historia ya 2009.
Huyo mtoto sio introvert ila ni kuwa umetengeneza mazingira ya kuogopwa kama baba. Huna muda nae zaidi ya kuulizia madaftari tu full time. Hii inaua confidence kwa mtoto.mkuu naona uko well Educated kwene mambo za temperament
nieleweshe monology??
huyu kwa ninavomsoma ni introvert lakin sasa ndo nashangaa introvert huwa na akili nyingi tofauti ni kwake.
17 years bado hajaanza kula utamu?😳ana mpenzi heeeh kijana wangu bado hajaanza hayo mambo mzee
Mtoto huwa anarithi akili za mama, sio za baba.Huyo Sio mwanao kapime DNA kitu cha kwanza mtoto kurithi ni Akili vingine ni Extra.