hutojuta.Nahitaji nimpeleke hiyo shule aisee
maana bora mtoto awe less intelligent lakini asiwe bwegebwege. dunia ya sasa na hata ya zamani haitaki watu wamezubaa goigoi. kule atafundishwa to be a man.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hutojuta.Nahitaji nimpeleke hiyo shule aisee
mkuu nimekuelewa!
yes ana low self esteem
Ni mwoga wa maumivu fimbo nk si kwangu generally tu.
Nimekua nikijaribu kumpa councelling
hasa ya kujiamini,,,kutokua muoga nk.
Shida ni moja mi likija swala la shule siwezi kabisa kua mvumilivu hasa mtu akirudi hamna alichoelewa. au msahaulifu wa simple concepts ambazo mwanzo alikua anaweza.
Nadhan labda mm kwasababu shule haijawai kunisumbua ndo maana siwezi muelewa mtu anaeshindwa vitu vidogo vidogo
Amini nakumbia inawezekana huwa mnamfokea na kumnanga hivyo aka-develop kutojiamini. Unajua namna ya kumsahihisha mtu kwa kumpa motivation? Mtu anapokosea badala ya kusema kwa ukali unampa moyo kwa kumwambia umefanya vizuri japo ungefanya hivi ingekuwa vizuri zaidi.Namuelekeza sana !!
sasa ukiwa na uwezo mdogo huwezi jiamini maana muda wote unakosea
Sasa maisha ni shule tu? Ndio maana hawezi kufikiria binafsi bila kutegemea input toka kwako. You are destroying him mentally.mkuu kwene familia zetu ni ngumu sana watoto kumzoea baba hasa kwakua anawafuatilia mambo yao muhimu!!
Kijana wangu nikiwa sipo anakaa sebulen na shangazi zake nakupga stori ila nikiwepo hang’ai hii ni kwasababu siwezi kaa hata nusu saa nisiulize mambo ya shule!
wengine hawana habari nae aende asiende wao sawa tu
hii tumepitia wengi. yule mzee wa kimeru alikua jitu katili. inaua sana kujiamini kwa mtoto. alikua dingi mbabilon.Huyo mtoto sio introvert ila ni kuwa umetengeneza mazingira ya kuogopwa kama baba. Huna muda nae zaidi ya kuulizia madaftari tu full time. Hii inaua confidence kwa mtoto.
Nilikulia mazingira hayo nilikuwa sina maamuzi juu ya chochote na siwezi toa opinion yeyote. Baba mlezi alikuwa mkali kama simba akija tunakimbilia kujificha vyumbani. Muda wote ni hofu tu kwamba ataanza kufoka mara kwanini sijisomei. Sikuwahi enjoy life kama mtoto.
Nilipoondoka kwenye mazingira yale na kurudi kwa baba mzazi ndio nikawa free sasa maana mzazi wangu yeye hakuwa mkoloni ila ni facilitator. Una raise matters anakusikiliza yuko supportive na unaweza kumpinga in short kuna freedom of speech. Hapo ndipo akili ilifunguka zaidi nikawa najihisi ni mtu.
Amtafutie demu tu haha 🏃havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza
Huyo dogo sio kwamba hana akili , ila akili yake imezidi vile mnavyotaka kumkaririsha , kuna mambo tumejiwekea limits ,mwingne akifikiri njee na hayo mnamwona hana akili ,na apo ndipo tunapofeli .
Ndio maana leo tunajiuliza wale wanafunzi watukutu na wasumbufu mashuleni imekuaje wametoboa kimaisha ,kumbe wao ndio mwenye akili wamegoma kufungiwa kwenye box moja .
Unachotakiwa kufanya ni kuangalia ubora wa dogo upo wap ,ndio utilie mkazo huko , akijua kusoma na kuandika inatosha kabisa .
parenting kwa sisi raia wa ukimani tatizo sugu. hatujui kwa ufupi.Amini nakumbia inawezekana huwa mnamfokea na kumnanga hivyo aka-develop kutojiamini. Unajua namna ya kumsahihisha mtu kwa kumpa motivation? Mtu anapokosea badala ya kusema kwa ukali unampa moyo kwa kumwambia umefanya vizuri japo ungefanya hivi ingekuwa vizuri zaidi.
Hio ndio constructive counselling. Sio unamuita mtu kilaza au ku impose any negative language.Amini nakumbia inawezekana huwa mnamfokea na kumnanga hivyo aka-develop kutojiamini. Unajua namna ya kumsahihisha mtu kwa kumpa motivation? Mtu anapokosea badala ya kusema kwa ukali unampa moyo kwa kumwambia umefanya vizuri japo ungefanya hivi ingekuwa vizuri zaidi.
uzi ufungwe mtoa mada akamatwe ahojiwe hayo maswali akishindwa kijibu bas auaweTuanze na lishe unayompatia nyumbani, je ni mlo kamilii?.
Twende kwenye malezi unayompa hapo nyumbani, je ni malezi ya kumfanya aweze kujitegemeaa?
Tuelekee kwenye lugha ya mawasiliano kati yenu, je huwa unamkaripia/kumgombeza mara kwa mara?
Je, kwa wastani mwili wake upoje, je ni mnene, mkakamavu au lege lege?
Vipi anashiriki michezo yoyote shuleni kwao au hata hapo mtaani?.
Ni mwanao wangapi kuzaliwq kwenye hiyo familia yako?.
Graph yake ya makuzi kadi ya clinic ilikuwaje au ipoje kama bado upo nayo? (Ni muhimu sana kutunza hiyo kadi)
Ukimaliza hayo yote, vipi mwanao huyo ana mpenzi? Kama hana wewe kama baba yake umemsaidiaje hilo swala?. (Usishangae ni jukumu lako mshua)
Ukiona mwanao hawezi kucheka mbele yako inabidi ujitafakari upya kiongozi, kuna kitu kikubwa hakipo sawa kati yenu.
Tafakari hayo machache Mkuu mwenzetu, kila la heri.
Chunguza mkuu wale watoto wapo darasani, waliokua wanakaa mbele kumsikiliza mwalimu , huku kwenye maisha hawana ujanja kwa sababu wao walizoea kupewa maelekezo na kufuata kama kondoo.Amtafutie demu tu haha 🏃
Mkuu sorry.ana mpenzi heeeh kijana wangu bado hajaanza hayo mambo mzee
Mkuu mi siamini kama maisha ni shuleSasa maisha ni shule tu? Ndio maana hawezi kufikiria binafsi bila kutegemea input toka kwako. You are destroying him mentally.
Wazee wengi wenye ukoloni hawawezi socialize na watoto.
Nimeshtuka mtoto kuambiwa anampenzi!Mkuu sorry.
Sasa wewe na mwanao mna tofauti gani hapa? Jamaa kauliza maswali ya msingi sana hujajibu ukakimbilia swali la mwisho na kujibu kimaringo.
Nadhani ni tabia za kurithi.
Umemchukua akiwa darasa la tatu.hapendi michezo anapenda kulala lala
hawezi cheza mbele yangu
Mi nimkali hasa linapokuja suala la shule
amelelewa na mama ake nimemchukua akiwa darasa la tatu
Huyo mtoto hajiamini atakua amepata makuzi ya vitisho, lawama, manyanyaso.hapendi michezo anapenda kulala lala
hawezi cheza mbele yangu
Mi nimkali hasa linapokuja suala la shule
amelelewa na mama ake nimemchukua akiwa darasa la tatu
Okay. Ngoja niendelee kuusoma uzi vipande vipande vyote.Nimeshtuka mtoto kuambiwa anampenzi!
ila fuatilia vizuri nimemjibu tena yale mambo yote
Kabisa walizoea kumezewa kila kitu. Mtoa mada inapaswa amfungulie kijana atoke na vijana wenzake hii itamsaidia kumjengea ujasiriChunguza mkuu wale watoto wapo darasani, waliokua wanakaa mbele kumsikiliza mwalimu , huku kwenye maisha hawana ujanja kwa sababu wao walizoea kupewa maelekezo na kufuata kama kondoo.
Nakumbuka niliwahi pata F ya hesabu form three first term. Yule mzee mkoloni akasema unaona huyo hawezi faulu form four hivi. Akatoa wazo nirudishwe form 1 nianze upya shule.hii tumepitia wengi. yule mzee wa kimeru alikua jitu katili. inaua sana kujiamini kwa mtoto. alikua dingi mbabilon.