Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia
Inaonesha kijana hana umakini tu ila uwezo wa akili anao mkubwa.

Hakikisha anaishi present, inawezekana kuna historia inamtesa ama ni muoga sana kwa yajayo. Cha kufanya chochote atachofanya jaribu kumtia moyo na akifanya jambo zuri usisite kumpongeza, ukiweza kuijua furaha yake ilipo hakikisha unamsapoti vilivyo maana furaha ndio chanzo cha umakini na umakini ndio chanzo cha uelewa.
 
nitaongeza hili mkuu!!
Je kwene ualimu nifanyaje?? maana tunapatana kote kasoro shule hapo
Au niache kumfuatilia
Achana nae ,kama unakagua mitihani ongelea zaidi namna atatoka hapo kwenye 30 % kwenda 76%, mueleze unategemea mtihani ujao afanye vyema zaidi, mpe tip/ ahadi ya kumnunulia chochote anachopenda endapo atafikia lengo, mfano akiwa top ten utamnunulia baskeli ya kisasa n.k. mzungumze pia maisha kwa namna nyingi kwakuwa elimu ya darasani sio kila kitu.
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia
Jitahidi ajichanganye...mnunulie viatu akimbie...ashiriki na wenzake kwenye michezo kama mpira wa miguu... mpe muda wa kujicganganya na wenzake atapata cha kujifunza. Utakuwa umemkuza kwa kumfungia sana.

Si enzi zetu.... tulijifunza ya utu uzima tukiwa utotoni utotoni.
Kibaba babaa kwa sana...
Gololi kwa sana...
Kimbolela usiseme...
Lazima akili iwe sharp ila hawa wa sasa hivi mwendo wa playstation
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia
Mzee wangu,
Mwanao anafanan na mim kabisa, Nina miaka 32 ndo nimekuja kujigundua kuwa Nina hali hiyo kwangu nimeterm kama ni ugonjwa.

Nilienda hospital kwenye kitengo Cha ugonjwa akili natumia dawa saivi.

Kuna unafuu nauona, nimebahatika kuoa humo ndan mkewangu anasema mm ni zuzu ila najaribu kuuficha kwa kugoma ila mwenyew najua kuwa Nina hili tatizo.

Saiv Niko najaribu kujinasua
 
Sasa mkuu unapata F KWELI!!

mimi hapo ndo nashindwa kuelewa unapataje F ?? kwamba we mwanzo mwisho miezi sita hukuwai elewa chocolate darasani!
hili ndo swala tunalogombana na kijana wangu.Mi mtu anaeshindwa shule ni ngumu sana kumuelewa hasa F na D
yawezekana kijana wangu kafata akili zako maana nayy hesabu ndo IMELALA YOOO
Kuna kitu kinaitwa interests, wengine hatupendi usumbufu. Mi nilikuwa na perform masomo yote above average. Shule haijawahi kuwa tatizo ila hesabu nilikuwa sizipendi maana unatakiwa ufanye kila wakati ili usisahau. Sio kwamba nilikuwa sielewi nikifundishwa.

Sasa unatakiwa uelewe kuwa unachopenda wewe sicho anachopenda mwenzio
 
Labda!?
Uzuri hizo maks ni za maana kabisa.
IMG_7392.jpeg

Mild or moderate forms za autism mtu anakuwa normal kabisa na anaweza ishi normal life. Sema sasa akiwa mkubwa ndio anakuwa na tabia fulani za ajabu, distracted kichwani kwake.

Moja ya symptoms za adulthood kwenye mild ni hayo malalamiko ya jamaa ‘being distant’ anaongea nae mtoto yupo kwengine asikilizi alichoambiwa.
 
Left handed huwa tunapata shida kuishi kwenye dunia ya watu wanaotumia mkono wa kulia , vitu vingi huwa vinatengenezwa kumzingatia mtu anayetumia mkono wa kulia kuvitumia kwa namna ya uwepesi ila tuna uwezo mkubwa wa adapt . Kama mwanao ni left handed , mwongoze afuate flow yake kufanya vitu kwa uhuru bila kumwekea restrictions zako .
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia
duh,nnae pia mtt wangu yupo ivyo ivyo kama wamezaliwa pacha na wako, ila yeye nahisi inachangiwa na kutokunyonya ziwa la mama, namuangaliaga naishia kunyamaza tu, yupo form 3, alivyo tall na handsome na ukilaza alionao sijui itakuaje kwenye life yake,
Ila cha ajabu ana kipaji cha mpira haswa na anaupenda na mazoezi anapenda.
 
Mild or moderate forms za autism mtu anakuwa normal kabisa na anaweza ishi normal life. Sema sasa akiwa mkubwa ndio anakuwa na tabia fulani za ajabu, distracted kichwani kwake.
Mkuu itabidi ukipata time uingie deep kidogo
Utupe hint kuhusu hizo behavior ambazo zinaweza kudevelop ukubwani
unaweza kuta na sisi ni wahanga
 
duh,nnae pia mtt wangu yupo ivyo ivyo kama wamezaliwa pacha na wako, ila yeye nahisi inachangiwa na kutokunyonya ziwa la mama, namuangaliaga naishia kunyamaza tu, yupo form 3, alivyo tall na handsome na ukilaza alionao sijui itakuaje kwenye life yake,
Ila cha ajabu ana kipaji cha mpira haswa na anaupenda na mazoezi anapenda.
😂😂😂😂😂😂😂 itakuwa bila kumwagiliwa tu.
Mpeleke Simba juniors akapambanie.
 
Nakumbuka niliwahi pata F ya hesabu form three first term. Yule mzee mkoloni akasema unaona huyo hawezi faulu form four hivi. Akatoa wazo nirudishwe form 1 nianze upya shule.

Na kweli nikaenda kuhamishiwa shule mpya na kuanzishwa form 1. Sikuona tatizo maana nishazoea kuswagwa kama ng'ombe. Nikapiga miezi 6 form 1 ila baadae ndugu wengine waliingilia kati na kuona ni uonevu mkubwa nimefanyiwa. Kama kufeli acha niendelee nikafeli tu ila sio kupotezewa muda. Kile kitu kinaniumizaga hadi leo nikifikiria.

Sikuwahi kuwa kilaza, i was a good performer ila hesabu ndio nilikuwa sizipendi. Naweza pata A masomo yote ila hesabu D au F.
Pole brother,

Kuna namna vitu flani ukitendewa huwa havitoki akilini haswa ukiwa mdogo.

Imagine mzazi anakumbwa na tatizo mida ya usiku hadi anapiga kelele, wewe unakurupuka kwenda kumsaidia Ila anakufukuza kwa sababu huwa husikii clearly kwa wakati huo .

Ndio maana naelewa kitu huyo dogo anapitia. Sio rahisi kuwa free na kujiamini katika eneo ambalo upo judged kila muda. Lazma utakaa kimya na kujitenga muda mwingi kama defensive mechanism lakini pia kuwa na amani ya moyo
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia

Mara nyingi issue kama hizo huletwa na mke mchawi, Mpende sana huyo mtoto na usimsimange, He is just a victim wa Miungu ya wazazi wake.
 
Mzee wangu,
Mwanao anafanan na mim kabisa, Nina miaka 32 ndo nimekuja kujigundua kuwa Nina hali hiyo kwangu nimeterm kama ni ugonjwa.

Nilienda hospital kwenye kitengo Cha ugonjwa akili natumia dawa saivi.

Kuna unafuu nauona, nimebahatika kuoa humo ndan mkewangu anasema mm ni zuzu ila najaribu kuuficha kwa kugoma ila mwenyew najua kuwa Nina hili tatizo.

Saiv Niko najaribu kujinasua
Mkuu vipi watoto wako na wenyewe wana hilo tatizo?

Ebu kwanzia leo jaribu kubadili mtindo wa maisha, jitahidi unakuwa na muda wa kuwa peke yako kila siku nenda sehemu tulivu na zenye uasili kama vile uoto wa asili, beach au sehemu yeyote ile yenye utulivu kisha uweke umakini kuangalia nature mawazo mengine yote uache kufikiria jaribu kuangalia tu asili na uifurahie, utanipa majibu mkuu.

Mimi nimesomea shule za kimasikini sana, sasa kipindi napanda level nilijikuta nakutana na wanafunzi waliotokea shule bora na wengi walikuwa ni race tofauti na yangu sasa nilikuwa najiona si kitu ila kifupi ni kuwa niliijua siri mapema nikawa na umakini uliomakinika matokeo yake nilifanya maajabu ambayo niliwashangaza wengi hata mwenyewe nilijishangaa.
 
Kukaa na mwanangu kupiga naye stori kulimjenga sana. Hata sometimes kauli anazotoa kwa wenzie unajua kabisa kaiga kwangu au kufuata nachomfundisha

Akiwa Grade 3 tu nikaanza kumpa majukumu ya kujitegemea. Ana time table ya majukumu kuanzia asubuhi mpaka usiku. Aamke kufagia uwanja, asafishe choo, amsaidie dada kuosha vyombo na ahudumie bustani. Jioni tunakaa kwenye kibweta kula stori za maisha na kumsikiliza mitazamo yake na kuiweka sawa.

Pale home kuna PS. Huwa nimewaruhusu madogo jirani walio bright wanakuja pale kucheza naye. Hata likizo huwa naangalia ndugu mwenye dogo bright basi namuomba aje kwangu likizo Anajifunza vingi sana.
Leo yupo grade 4 anajitambua sana na anajiamini.

Usimkatie tamaa, bado anaweza kubadilika huyo
 
Back
Top Bottom