Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Mimi nilikuwa very defensive hata kipindi nimeanza mahusiano nilimpa shida sana mtoto wa watu. Sikuhizi ile hali imeisha nilikuwa sikubaligi kushindwa na very fierce. Yani ukitafta namna ya kuni attack ujue umeisha sikuwa nataka kuwa abused maana ile hali ya kutojiamini ilikuwa imentawala kwahio kabla hujanifikia kuni torture unakula chuma. Sikupi hata sekunde
Tofauti na mimi miaka yote najiachia hiyo hali ya kuwa defensive imenipata baada ya ndoa kuvunjika yaani napaki basi,ukijichanganya uje vibaya inakula kwako, nimekuwa makini na nisiyemuamini mtu,kila kitu nafanya kwa uhakiki😅
 
Mimi nilikuwa very defensive hata kipindi nimeanza mahusiano nilimpa shida sana mtoto wa watu. Sikuhizi ile hali imeisha nilikuwa sikubaligi kushindwa na very fierce. Yani ukitafta namna ya kuni attack ujue umeisha sikuwa nataka kuwa abused maana ile hali ya kutojiamini ilikuwa imentawala kwahio kabla hujanifikia kuni torture unakula chuma. Sikupi hata sekunde

Wengi huwa hivyo Ila mimi kuna situations zilinijengea kuwa na huruma sana sana na watu hasa wanaopitia situations flani Ila baada ya kuingia street, naipunguza maana huruma mjini ni daraja la kutumika .

Na pia sipendi uonevu kabisaaa ndio maana nishawahi kuwa John Okello wa shule, freedom fighter, moja ya #mgomoOrganizer😁
 
Tofauti na mimi miaka yote najiachia hiyo hali ya kuwa defensive imenipata baada ya ndoa kuvunjika yaani napaki basi,ukijichanganya uje vibaya inakula kwako, nimekuwa makini na nisiyemyamini mtu,kila kitu nafanya kwa uhakiki😅
kwa maana ume kua defensive kwene mahusiano au umeanza kutoawaamini watu wote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu,

Inawezekana kabisa mtu ukawa una ujinga fulani unaotokana na kasumba za kijamii, halafu mtoto kakuzidi akili, au hata kama hana akili kukuzidi, hajapata kasumba za kijamii tu, anauliza Socratic question linaloonekana la kijinga kwa sababu mzazi hujafikia uwezo wake au una kasumba za kijamii zaidi yake.

Unaweza kumuona mtoto mjinga wakati wewe ndiye mjinga.

Kwa mfano, watoto wengi huwa wanauliza "Kama kila kitu lazima kina chanzo, na vyote vimeumbwa na Mungu, Mungu chanzo chake ni nini?" Na hawapati jibu la maana, wanabagazwa kuuliza swali la kijinga, wakati swali lina maana sana.

Ndiyo maana hapa naona kwa maneno ya jumlajumla kupata kujua tatizo ni vigumu, inabidi tupate mifano ya maneno halisi, maswali, majibu, maelezo, etc.
 
Pole sana mkuu.

Umechunguza ujombani (kwao mama mtoto) hawana tatizo linaloendana na hilo?

Kama si tatizo la kurithi inawezekana limechangiwa na malezi/mazingira.

Jaribu kwenda nae taratibu hivyo hivyo, muexpose na vijana wengine ( Wenye tabia njema) ili washiriki pamoja katika michezo/mazoezi/Maktaba.

Kuwa nae karibu sana, mfanye rafiki yako ili aweze kuwa huru kukufungukia chochote.. Baada ya kazi unaweza kuwa unashiriki nae michezo/mazoezi.
 
kwa maana ume kua defensive kwene mahusiano au umeanza kutoawaamini watu wote
Watu wote tu hata kwenye biashara,au mipango nimekuwa msiri sana,kwenye mahusiano nimekuwa sijiamini kabisa kama nna wapenzi watano naona kama wataniacha wote hivyo naongeza watatu wawe 8.yaani chumbani kuna vipimo vya ukumwi utadhani maabara,kila muda nna kazi ya kupima wanawake wapya.
 
Wengi huwa hivyo Ila mimi kuna situations zilinijengea kuwa na huruma sana sana na watu hasa wanaopitia situations flani Ila baada ya kuingia street, naipunguza maana huruma mjini ni daraja la kutumika .

Na pia sipendi uonevu kabisaaa ndio maana nishawahi kuwa John Okello wa shule, freedom fighter, moja ya #mgomoOrganizer😁
Hahaha hio ni kawaida sana.
 
Hao ndio watoto wanaopata low apgar score .

Jitahidini muwapeleke wake zenu kliniki na wazingatie yale yote wanayoambiwa na wahudumu wa afya kipindi chote cha ujauzito wao na baada ya kujifungua ili mupunguze matatizo kama haya.
 
lakin kwene hesabu ndo ulikua unakubali kupata F !! ni ajabu. kwakweli!

kijana wangu huwezi mshinda kucheza magame ila vingine uje shuleni hata walichofundishwa leo hakumbuki
Sikuwa na interest nazo kabisa. Kikubwa nilikuwa najua sitakwama kwenda mbele bila hata hizo hesabu😁 na sikuwahi kukwama maana ukichora mstari katika wale top 10 performers sikosekani.

Nashukuru Mungu kwetu mostly shule huwa haisumbui na hatukuwahi kuhangaika na tutions.
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidmezaa na slay queen

Nifanyaje kumsaidia
Umezaa na slayqueen
 
Nnakumbana na changamoto hii kwa binti yangu. Yaani unachoeleza ndicho ninachokumbana nacho ila ni mdogo yuko la nne ila yani maswali ya common sense madogo tu kwake changamoto hata katika maisha. Sema mzazi mwenzangu kumbe alimwachishaga ziwa akiwa na miezi mitatu sijui ndio effect hiyo
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia
Daaah pole sana mkuu
 
Mzee wangu,
Mwanao anafanan na mim kabisa, Nina miaka 32 ndo nimekuja kujigundua kuwa Nina hali hiyo kwangu nimeterm kama ni ugonjwa.

Nilienda hospital kwenye kitengo Cha ugonjwa akili natumia dawa saivi.

Kuna unafuu nauona, nimebahatika kuoa humo ndan mkewangu anasema mm ni zuzu ila najaribu kuuficha kwa kugoma ila mwenyew najua kuwa Nina hili tatizo.

Saiv Niko najaribu kujinasua
Pole Sana mkuu
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia
Mtoto umebambikiwa huyo sio wako aumama yake kwao ni vilaza
 
Back
Top Bottom