Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu itabidi ukipata time uingie deep kidogo
Utupe hint kuhusu hizo behavior ambazo zinaweza kudevelop ukubwani
unaweza kuta na sisi ni wahanga
Kuna mambo mawili hapohavihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza
Huyo dogo sio kwamba hana akili , ila akili yake imezidi vile mnavyotaka kumkaririsha , kuna mambo tumejiwekea limits ,mwingne akifikiri njee na hayo mnamwona hana akili ,na apo ndipo tunapofeli .
Ndio maana leo tunajiuliza wale wanafunzi watukutu na wasumbufu mashuleni imekuaje wametoboa kimaisha ,kumbe wao ndio mwenye akili wamegoma kufungiwa kwenye box moja .
Unachotakiwa kufanya ni kuangalia ubora wa dogo upo wap ,ndio utilie mkazo huko , akijua kusoma na kuandika inatosha kabisa .
Mimi nilikuwa very defensive hata kipindi nimeanza mahusiano nilimpa shida sana mtoto wa watu. Sikuhizi ile hali imeisha nilikuwa sikubaligi kushindwa na very fierce. Yani ukitafta namna ya kuni attack ujue umeisha sikuwa nataka kuwa abused maana ile hali ya kutojiamini ilikuwa imentawala kwahio kabla hujanifikia kuni torture unakula chuma. Sikupi hata sekundePole brother,
Kuna namna vitu flani ukitendewa huwa havitoki akilini haswa ukiwa mdogo.
Imagine mzazi anakumbwa na tatizo mida ya usiku hadi anapiga kelele, wewe unakurupuka kwenda kumsaidia Ila anakufukuza kwa sababu huwa husikii clearly kwa wakati huo .
Ndio maana naelewa kitu huyo dogo anapitia. Sio rahisi kuwa free na kujiamini katika eneo ambalo upo judged kila muda. Lazma utakaa kimya na kujitenga muda mwingi kama defensive mechanism lakini pia kuwa na amani ya moyo
hapana mama ake hajawai msemea kitu kibayaMara nyingi issue kama hizo huletwa na mke mchawi, Mpende sana huyo mtoto na usimsimange, He is just a victim wa Miungu ya wazazi wake.
Amesema shule ya msingi boarding au day? Na o level vipi boarding au day?Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.
Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .
Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!
MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average
Nifanyaje kumsaidia
lakin kwene hesabu ndo ulikua unakubali kupata F !! ni ajabu. kwakweli!Mimi nilikuwa very defensive hata kipindi nimeanza mahusiano nilimpa shida sana mtoto wa watu. Sikuhizi ile hali imeisha nilikuwa sikubaligi kushindwa na very fierce. Yani ukitafta namna ya kuni attack ujue umeisha sikuwa nataka kuwa abused maana ile hali ya kutojiamini ilikuwa imentawala kwahio kabla hujanifikia kuni torture unakula chuma. Sikupi hata sekunde
Well, ana enda ana swing juu na chiniMkuu unasema ana miaka 17?Tangu alipokuwa 0-16 vp alikuwa tofauti na ameanza kubadilika siku za karibuni?
shule ya msingi nilimpeleka boarding O level sand kayumba dayAmesema shule ya msingi boarding au day? Na o level vipi boarding au day?
Watoto wa dada yangu wamesoma boarding kuanzia shule ya msingi, mmoja ana division 1 na mwingine ana 2,
Kwa hiyo darasani wako vizuri ila akili za mtaani ndo changamoto, kuna malezi wanakosa.
Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeelezea kijumlajumla sana mpaka hatuwezi kujua kama wewe ndiye una matatizo au ni huyo mtoto.
Ungeweka mifano hai tungeweza kuelewa zaidi.
hapana ana uhuru huwa anaenda hata kuzurula hamna limitation kwanguMnawafungia mno watoto waangalie katuni hata hawajui nje watu wanaishije.
Thanks mkuuView attachment 2986990
![]()
Could You or Your Child Have Mild Autism?
People with mild autism have lower support needs that are often overlooked. Learn these mild autism traits and how to get diagnosed.www.verywellhealth.com
Google mild autism au moderate autism, wanaeleza tabia zake. Autism Ina level tatu mild, moderate na severe.
Mild ni ngumu sana kuijua utotoni wakati mwingine, moderate pia kwa watoto wengine inaweza kuwa ngumu kuijua (but moderate is usually detected in many cases) inahitaji behaviour modification tu.
Watu wenye mild na moderate wanaweza ishi maisha ya kawaida tu wasipobainika utotoni, sema wanakuwa na tabia fulani za ajabu.
Ndio kama huyo mtoto easily distracted ‘seems distance’ anapopewa maelezo. Wengine unakuta hajui mipaka ya utani, etc.
unahitaji mfano gan mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapo kwene mipaka ya utani hapo !! kuna ndugu yangu yupo ivo!!Thanks mkuu
Hadi nikaleta shida ipo mkuuAnachokosa mwanao ni confidence, yaani haujamjengea uwezo wa kujiamini unavyomlinganisha na enzi zako ukiwa kijana humtendei haki kwani mazingira ni tofauti Sana.
Kabla ya "conclusion " uliyofikia, umejiridhisha pasipo Shaka yoyote kuwa mwanao ni kilaza?