Mwanangu asome fani gani kwa ufaulu huu?

Mwanangu asome fani gani kwa ufaulu huu?

Dvn III ya 13?
Aende Bsc ya finance, commerce, economics, banking chuo cha IAA

Afanye chap kuapply vyuo vya mikoani au TIA, Ustawi atapata

Aking'ang'ania UDSM IFM UDOM itakula kwake
Vyuo ambavyo watu wengi wanavikimbia akiapply anaweza kupata course karibia zote anazozitaka yeye.
 
Amemaliza six mwaka huu kombi ya EGM,
Ufaulu: Economics D, Geography D, Maths E,

Naomba ushauri wenu kwa fani anazoweza pata ajira kirahisi au akaweza kujiajiri.
Kwani kipindi anachagua EGM alikuwa anataka kuwa nani /kusoma nini chuoni?

Kingine aangalie TCU guide book ya mwaka huu aangalie anapoona ana kidhi vigezo .
 
Back
Top Bottom