Mwanangu asome fani gani kwa ufaulu huu?

Mwanangu asome fani gani kwa ufaulu huu?

Yote kwa yote jitahid mwanao asije somea uwalim jmn
ualimu siyo kazi mbaya hata kidogo. issue pale ni malengo tu
location mfano mwalimu aliyepo masasi kila mwaka akiwekeza kwenye kununua na kuuza korosho huku akipanda mikorosho yake baada ya miaka 25-35 ya kazi yake atakuwa na mikorosho na mashamba mangapi?
mwalimu anamaliza kazi saa nane huu muda akiutumia kuzalisha baada ya muda sema kufuga mfano muzi au kuku baada ya miaka mitano atakuwa wapi?
 
Anaweza soma Bachelor of arts in economics au economics and statistics au economics and finance au agriculture economics and natural resources au taxation na uhasibu
 
Back
Top Bottom