Mwanangu asome fani gani kwa ufaulu huu?

Mwanangu asome fani gani kwa ufaulu huu?

Mkuu achana na mambo ya Madegree madiploma mpeleke mtoto Veta akasome long course ya mechanics and driving nadhani kama miaka mitatu akitoka hapo atakuwa Fundi Mzuri na Dereva maisha yanaendelea chuo kama hana connection maofisin atapoteza mda mrefu Kisha aje kuwa jobless
 
Amemaliza six mwaka huu kombi ya EGM,
Ufaulu: Economics D, Geography D, Maths E,

Naomba ushauri wenu kwa fani anazoweza pata ajira kirahisi au akaweza kujiajiri.
Kama kwenye familia hakuna connection hakikisha mpaka atakapomaliza chuo anajua bodaboda, umachinga na kuchoma chipsi.
 
Mpeleka DMI pale kweny fani za ubaharia utakuja kunishuruku au mpeleka pale NIT akasomee kozi yenye usafairishaji kama vile logistics and transport ,
 
Amemaliza six mwaka huu kombi ya EGM,
Ufaulu: Economics D, Geography D, Maths E,

Naomba ushauri wenu kwa fani anazoweza pata ajira kirahisi au akaweza kujiajiri.
Akasome Diploma ya kozi hizi Uhadhili, Masijala, Utanzaji Kumbukumbu akimaliza tu Ajira hii hapa Serikalini yaan bila kupepesa macho
 
Hakuna Fani yenye Guarantee ya ajira sasa hivi. kama tu MD wanapanga foleni na usahili. Ajira ya uhakika ni ujasiriamali na kujiajiri. Kwa hiyo fani akasome mambo ya Finance/Accounts huku mnafanya mengine
 
Nashauri apitie veta kwanza, itamsaidia baadae akifika chuo, saiv nahisi kama ataenda kusumbuka huko chuoni, au muulize yeye anataka kozi gani
 
Mkuu achana na mambo ya Madegree madiploma mpeleke mtoto Veta akasome long course ya mechanics and driving nadhani kama miaka mitatu akitoka hapo atakuwa Fundi Mzuri na Dereva maisha yanaendelea chuo kama hana connection maofisin atapoteza mda mrefu Kisha aje kuwa jobless
Miaka mi3 veta si unaanza na kuunda magari mapya kabisa asee tena ya umeme.
 
Back
Top Bottom