Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Muda mfupi kabla ya kuondolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa DAR es salaam nafsi za mteua na mteuliwa zitakuwa zinajiuliza maswali haya mawili
Mwanangu Chalamila kwanini umenigombanisha na wananchi ?
Hapana mama nilitaka wafahamu ukweli wafanye kazi nakufahamu kwamba huduma ya afya ni gharama kubwa na wanapaswa kugharamia
Nimekuelewa lakini umeongea lugha ambayo haina ubinadamu. Hivi kijijini wanaweZa wakapata 50,000 kwa hali ya uchumi ilivyo? Unafahamu msimamo wa serikali kuhusu huduma ya afya? Unafahamu kwamba haki ya kuishi ni kipaombele cha kila serikali? Unaposema mtoto afe na mzazi afe na ukasema ni uzembe unamaanisha nini?
Je, ni lini serikali inayoongoza imewahi kutoa huo msimamo wako?
I'm sory mama