Mwanangu Chalamila umerudia tena kunigombanisha na wapiga kura? Hapana mama nimesema ukweli wa hali ilivyo...poa

Kwani wajawazito wanapokwenda clinics huwa hawaambiwi wajiandae na hizo items?
 
Wakina mama wote Tanzania waungane wamkatae Samia kwenye sanduku la kura maana ccm wameshindwa kuboresha huduma za afya.
Check numbers za samia kwenye uzazi salama
 
Mwanangu Chalamila kwanini umenigombanisha na wananchi ?
 
Huku kwetu mtaa mzima mwenye cash 30,000/ ni balozi wa mtaa Jana alipata pesa hiyo kwa udalali wa kuuziana shamba la dhuluma!!

Nakushangaa unayetamka hiyo 50k
Kwahiyo unafurahia umasikini? Huyo mwenyekiti kwanini asikae na wananchi wake wakajadiliana jinsi ya angalau ya kujiwekea akiba ya sh. 100 kwa siku, kwa wiki 700, kwa mwezi 3,000, kwa miezi 9 ni 27,000/=. Kama kijiji kina wakazi 100 mtakuwa kwa 270,000/= hamtaweza kushidwa msaidia mzazi mwenzenu katika mtaa!
 
Kauli ya Chalamila ina akisi mawazo ya Wana CCM wengi. Hawana huruma kabisa kwa Binadamu wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…