Unampeleka boarding akiwa very youngWakuu hongereni kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri.
Sasa huyu dogo he is almost 4 now.
Ila tatizo Lake hali chakula chochote nje ya nyumbani.
Mfano hata mkienda mahali ukimuagizia chochote hawezi kula.
Ila akirudi nyumbani anakula vizuri tu.
Sasa huyu dogo ananifikirisha sana akienda boarding itakuaje.
Itumike njia gani kumsaidia.
Na mm nimemshangaa.Kwa nini unataka awe anakula nje ya nyumbani? yaani ungefurahia mwanao awe anadoea kwa jirani. Issue ya boarding bado sana ndio kwanza 4 ..... Enyi wazazi msiwachokoze watoto wenu........ unaikumbuka hii......
Una mtoto smart sana na umtunze sana na kumlea aweze kubaki katika viwango alivyoumbiwa kwani naona wewe utamshusha kwa kumletea mambo ya uswahili. Ikiwezekana kama upo uswazi toka mara moja mkaishi mahali panapofaa zaidi.Wakuu hongereni kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri.