Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Wakuu hongereni kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri.
Sasa huyu dogo he is almost 4 now.
Ila tatizo Lake hali chakula chochote nje ya nyumbani.
Mfano hata mkienda mahali ukimuagizia chochote hawezi kula.
Ila akirudi nyumbani anakula vizuri tu.
Sasa huyu dogo ananifikirisha sana akienda boarding itakuaje.
Itumike njia gani kumsaidia.