Kusamburo
Member
- Jan 9, 2020
- 48
- 48
Nina mwanangu ana umri wa miaka 2 sasa. Hawezi kukaza kichwa wala hajaweza kukaa. Nimeenda hospitali hadi leo ni mazoezi tu tatizo hasa sijalijua.
Naombeni mwenye kuelewa anieleweshe nitashukuru.
Nipo Zanzibar.
MAONI YA WADAU:
Naombeni mwenye kuelewa anieleweshe nitashukuru.
Nipo Zanzibar.
MAONI YA WADAU:
===Hili tatizo linaitwa Global developmental delay's, linasababishwa na matatizo mbalimbali likiwemo geneticists issues.
kawaida mtoto akizaliwa kuna check up daktari anaifanya kabla hamjaruhusiwa kwenda nyumbani mokawapo ni uwezo wa kusikia.
baadaya wiki sita kuna check up nyingine daktari anaifanya kuona kama mtoto ana nyanyua miguu, mikono nk
mtoto wa mwaka mmoja anaanza kuinua kichwa juu.
Hivi vikigundulika haraka mtoto hupata msaada mapema.
Daktari mzuri wa kumuona ni daktari wa watoto.
The term 'developmental delay' or 'global development delay' is used when a child takes longer to reach certain development milestones than other children their age. This might include learning to walk or talk, movement skills, learning new things and interacting with others socially and emotionally.
===Huenda hiyo njano ndio imesababisha hiyo hitilafu. Hii kitu inaitwa "Kernicterus" au "Bilirubin encephalopathy". Njano ikiachwa mpaka ikazidi viwango Fulani, huleta shida kwenye sehemu ya ubongo inaitwa basal ganglia na ndio maana mtoto amechelewa kufikia milestones zake kulingana na umri, maana hiyo sehemu ya ubongo ndio inacontrol movement.
Naomba kujua vidole gumba vyake vya mikono anaviwekaje. Huwa wanakuwa na namna Fulani wanakunja kidole gumba kinagusana na kiganja halafu wanafanya kama ngumi Fulani hivi muda wote. "Cortical thumbing"
Cha kufanya kazana na mazoezi kwa bidiii sana ili aweze kuwakamata wenzake wa umri huo. Mtoto ni kama udongo, though amepata shida hiyo lakini unaweza ukamfinyanga akawa sawa ukiweka bidii.
pole sana mkuu in medical terminology hiyo hali inatwa cerebral palsy. Mara nyingi hutokea wakati wa mama akiwa labour ni hitilafu zinazojitokea wakat wa kuzaliwa. mtoto anapata nerves injur au pathological jaundice(manjano) hvyo kupelekea kuathiri nerves supply kama (miguu,shingo,usu nk). Hivyo basi kwa kukushauri mwendeleze na mazoezi lakini pia anaglia ni vitu gani ambavyo mpaka sasa anaweza kufanya visvyo wezekana achana navyo. Hili tatzo ni irrivesible kwa maana hakuna matibab ya kumleta katka hali yake katka sekta ya afya nenda popote pale(alishapata deleyed mile stone).
pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app